John Magufuli: Ninautamani urais!

Sijui ikulu ziko ngapi! manake kila mwanaCCM anataka kwenda ikulu.
 
Magufuli yafaa awe chini ya mtu. Labda awe PM. Kumpa urais sio rahisi. Ana dalali zote za kuwa haambiliki. Lazima kuwe na nguvu iliyo juu yake kumrudisha kwenye mstari mara kwa mara.
 
Magufuli ni mtu pekee ambae ,kama akipitishwa,ataleta upinzani kiasi kwa UKAWA

Huyu jamaa hata kama huwa anaiba(CCM wote huwa ni wezi wezi) lakini wizi wake huenda sambamba na uchapakazi unaoonekana sio ule wa kwenye makaratasi

Yote kwa yote,mwaka huu sio mzuri sana kwa CCM..Tuombe uzima na amani October tuwepo
 
Ninaamini rais atatoka miongoni mwetu na sio marekani au uchina, so tusimkashifu yoyote.ninachoshauri mm ni kua tunshitaji MTU jasiri ataesubutu kusema tumekosea,tujisahihishe,track letu liko nje ya mstari tunafsnyaje tutoke hapa.jasiri,anaekiri kwa dhati kua tumekosea.Huyu ndie nashauri awe ndio mgombea wetu kwa chama chochote,tunahitaji majawabu ya matatizo yetu kama taifa
 
kwako wewe kisiki cha mpingo kwakuwa kimekutosheleza barabara... kwetu sisi anajulikana kama bonge la mpenda sifa alieiingizia serikali hasara kubwa kuliko waziri mwingine yeyote katka historia ya nchi hii ....

Team Lowassa hiyo....naona "kiwewe" kimewaingia... Muelezeni boss wenu awaongezee dau maana ni ngumu sana kuchomoa hiko kisiki cha mpingo!!
 
kwako wewe kisiki cha mpingo kwakuwa kimekutosheleza barabara... kwetu sisi anajulikana kama bonge la mpenda sifa alieiingizia serikali hasara kubwa kuliko waziri mwingine yeyote katka historia ya nchi hii ....

Bila shaka wewe ni bwenyenye fisadi uliyelewa rushwa...
 
Kuna Ufisadi na Rushwa iliyowahi kuzidi ile ya Kugawana Nyumba za Serikali Tanzania nzima? Ulizia professional watathmini majengo wakujuze wewe ----- la Mwishi... Nenda Chato ujionee barabara iliyowekwa lami ulimi! Kwake amejenga motel kwa fedha za Umma ! Farasi kibao... achene kuwakeli Watanzania ....

Upeowako ni finyu...maamuzi ya kuuza nyumba yalikuwa ni maamuzi ya baraza la mawaziri/serikali...na wa si maamuzi ya Magufuli...
Acha kupayuka kama uko kijiweni, leta ushahidi wa yeye kujenga motel kwa fedha za umma..
 
Wanabodi hivi kwa waziri kama maghufuri amedanganya umma wa watanzania kwamba flai ova zinajengwa na suala hili kaongea karibu kila bajeti yake anapowasilisha.sasa je waziri kama huyu na bado nae anataka uraisi wakati wizara imemshinda je! Tunampa adhabu gani kwenye msimu huu wa uchaguzi?
 
Duu laiti kama ningetambua kuwa huu uzi umeletwa tangu 2013 nisingepoteza muda kuusoma. Lowassa anatosha.
 
Back
Top Bottom