Elections 2015 Magufuli: Nikifanikiwa kuwa rais nitakulinda kwelikweli Diallo

mpigie kura magufuli achana na tafasiri nyingine ambayo haina maslahi ya watu watanzania
 
hapa kazi tuu kama hujakuja kwa magufuli rudi nyumbani ccm kimbia aibu mapema sana
 
Anthony Dialo ni mwekezaji namba moja kanda ya ziwa. Anamiliki vitega uchumi vingi na ametoa ajira nyingi kwa Watanzania kama alivyo Bakhressa, Manji, Dewji nk. Kubwa zaidi, ni Anthony Dialo pekee ndiye aliyejitolea kumtetea na kumlinda Magufuli kwenye kampeni zake pale alipoamua kurusha moja kwa moja matangazo ya mikutano ya Magufuli.

Ningemuona mtu wa ajabu sana kama asingeliona hilo. Reginald Mengi na Rostam Aziz aliweka azma ya kutorusha taarifa za Magufuli na kumpa muda wa kutosha Lowassa.

Big up Magufuli. Mlipe fadhila anayekutendea wema. Ikiwa Dialo atadhurika, atasababisha ukosefu mkubwa wa ajira

Unaongea as if Lowassa alikuwa anafanya mikutano yote live...huo muda wa kutosha Lowassa aliopewa ni upi?

Kuhusu Diallo, Magufuli ameahidi kumlinda dhidi ya nini, au dhidi ya nani? kivipi?
 
Anthony Dialo ni mwekezaji namba moja kanda ya ziwa. Anamiliki vitega uchumi vingi na ametoa ajira nyingi kwa Watanzania kama alivyo Bakhressa, Manji, Dewji nk. Kubwa zaidi, ni Anthony Dialo pekee ndiye aliyejitolea kumtetea na kumlinda Magufuli kwenye kampeni zake pale alipoamua kurusha moja kwa moja matangazo ya mikutano ya Magufuli.

Ningemuona mtu wa ajabu sana kama asingeliona hilo. Reginald Mengi na Rostam Aziz aliweka azma ya kutorusha taarifa za Magufuli na kumpa muda wa kutosha Lowassa.

Big up Magufuli. Mlipe fadhila anayekutendea wema. Ikiwa Dialo atadhurika, atasababisha ukosefu mkubwa wa ajira

Diallo si wa kumfananisha na Bakhresa kwa kutoa ajira.
Unaijua mishahara ya watangazaji wake? Kwanini anakimbiwa daily?
 
Ndugu wana-JF habarini.

Mimi kama Mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu, mnalichukuliaje suala la mgombea urais kupitia CCM kumwambia Antony Diallo kuwa atamlinda saaana kupita maelezo pindi atakapoingia Ikulu?

Ndugu zanguni imekaaaje hii, kwa kiongozi kutamka hivyo mbele ya wa wana-CCM na Wa-tz kadhaa bila aibu!?
butua tu baba
 
Anthony Dialo ni mwekezaji namba moja kanda ya ziwa. Anamiliki vitega uchumi vingi na ametoa ajira nyingi kwa Watanzania kama alivyo Bakhressa, Manji, Dewji nk. Kubwa zaidi, ni Anthony Dialo pekee ndiye aliyejitolea kumtetea na kumlinda Magufuli kwenye kampeni zake pale alipoamua kurusha moja kwa moja matangazo ya mikutano ya Magufuli.

Ningemuona mtu wa ajabu sana kama asingeliona hilo. Reginald Mengi na Rostam Aziz aliweka azma ya kutorusha taarifa za Magufuli na kumpa muda wa kutosha Lowassa.

Big up Magufuli. Mlipe fadhila anayekutendea wema. Ikiwa Dialo atadhurika, atasababisha ukosefu mkubwa wa ajira
Star tv inafilisika mbona Magu hana msaada
 
Ndugu wana-JF habarini.

Mimi kama Mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu, mnalichukuliaje suala la mgombea urais kupitia CCM kumwambia Antony Diallo kuwa atamlinda saaana kupita maelezo pindi atakapoingia Ikulu?

Ndugu zanguni imekaaaje hii, kwa kiongozi kutamka hivyo mbele ya wa wana-CCM na Wa-tz kadhaa bila aibu!?
Tayari mchakato umeanza .
 
Anthony Dialo ni mwekezaji namba moja kanda ya ziwa. Anamiliki vitega uchumi vingi na ametoa ajira nyingi kwa Watanzania kama alivyo Bakhressa, Manji, Dewji nk. Kubwa zaidi, ni Anthony Dialo pekee ndiye aliyejitolea kumtetea na kumlinda Magufuli kwenye kampeni zake pale alipoamua kurusha moja kwa moja matangazo ya mikutano ya Magufuli.

Ningemuona mtu wa ajabu sana kama asingeliona hilo. Reginald Mengi na Rostam Aziz aliweka azma ya kutorusha taarifa za Magufuli na kumpa muda wa kutosha Lowassa.

Big up Magufuli. Mlipe fadhila anayekutendea wema. Ikiwa Dialo atadhurika, atasababisha ukosefu mkubwa wa ajira
Habari za Leo Mkuu? Nipo KITAI hapa, nageuka soon, niambie nikukute wapi tule ugali na dagaa wa nyasa.
 
Back
Top Bottom