Rais Magufuli na Lowassa ni nani anakubalika?

Tuwe wakweli tu kati ya hawa viongozi wawili ni yupi anaekubali kwa wananchi?

Miezi 9 ya Magufuli madarakani imemuongezea mashabiki kuliko Lowassa alieko uraini au ni Lowassa alieko uraini ndio amejiongezea mashabiki kuliko Magufuli alieko madarakani?

Ukitokea uchaguzi mdogo leo hii kati ya Magufuli na Lowassa, ni nani anaweza kumnadi mgombea wa chama chake na kuzua hamasa kwa wapiga kura?

Kati ya Magufuli na Lowassa ni nani leo hii anaweza kujaza watu ikitokea tukawa na uchaguzi mdogo?

Lowasa ndiyo anakubalika siyo yeye tu hata mke na watoto wake pia wanakubalika!
 
Tuwe wakweli tu kati ya hawa viongozi wawili ni yupi anaekubali kwa wananchi?

Miezi 9 ya Magufuli madarakani imemuongezea mashabiki kuliko Lowassa alieko uraini au ni Lowassa alieko uraini ndio amejiongezea mashabiki kuliko Magufuli alieko madarakani?

Ukitokea uchaguzi mdogo leo hii kati ya Magufuli na Lowassa, ni nani anaweza kumnadi mgombea wa chama chake na kuzua hamasa kwa wapiga kura?

Kati ya Magufuli na Lowassa ni nani leo hii anaweza kujaza watu ikitokea tukawa na uchaguzi mdogo?
Wew haujiongez! Mshind ndio anaekubalika, alieshindwa akubalik other factor remain constant!
 
Tuwe wakweli tu kati ya hawa viongozi wawili ni yupi anaekubali kwa wananchi?

Miezi 9 ya Magufuli madarakani imemuongezea mashabiki kuliko Lowassa alieko uraini au ni Lowassa alieko uraini ndio amejiongezea mashabiki kuliko Magufuli alieko madarakani?

Ukitokea uchaguzi mdogo leo hii kati ya Magufuli na Lowassa, ni nani anaweza kumnadi mgombea wa chama chake na kuzua hamasa kwa wapiga kura?

Kati ya Magufuli na Lowassa ni nani leo hii anaweza kujaza watu ikitokea tukawa na uchaguzi mdogo?
Watz walio wengi
 
Lowassa saizi zake akina Mrema.....usipende kuidanganya nafsi yako....subiri 2020 ili astaafishwe siasa kwa aibu kubwa.
 
Anayekubalika ni yule aliyepata kura nyingi.
Mwenye mamlaka ya kuongoza Tanzania ndiye anayekubalika zaidi.
 
Tuwe wakweli tu kati ya hawa viongozi wawili ni yupi anaekubali kwa wananchi?

Miezi 9 ya Magufuli madarakani imemuongezea mashabiki kuliko Lowassa alieko uraini au ni Lowassa alieko uraini ndio amejiongezea mashabiki kuliko Magufuli alieko madarakani?

Ukitokea uchaguzi mdogo leo hii kati ya Magufuli na Lowassa, ni nani anaweza kumnadi mgombea wa chama chake na kuzua hamasa kwa wapiga kura?

Kati ya Magufuli na Lowassa ni nani leo hii anaweza kujaza watu ikitokea tukawa na uchaguzi mdogo?

Mashabiki wake bado ni wale wale tu wazungusha mikono.
 
kamanda tafta MTU mwingine wa kumlinganisha na lowasa? hivi nan kama lowasa?
 
Tanzania ya wasomi na wajuvi wa hali ya juu,na mada zetu za vyuo vikuu nafurahi kuwa mtanzania!
 
Hivi nyie mna matatizo gani....!!? Anaekubalika kati ya mkuu wa nchi na aliyekuwa mgombea akashindwa!!? Unataka ushahidi gani tena ili ujue nani zaidi!!? Tatizo lenu chadema mnataka kuwalazimisha watu wawe upande wenu.
 
Lowasa
 
Tuwe wakweli tu kati ya hawa viongozi wawili ni yupi anaekubali kwa wananchi?

Miezi 9 ya Magufuli madarakani imemuongezea mashabiki kuliko Lowassa alieko uraini au ni Lowassa alieko uraini ndio amejiongezea mashabiki kuliko Magufuli alieko madarakani?

Ukitokea uchaguzi mdogo leo hii kati ya Magufuli na Lowassa, ni nani anaweza kumnadi mgombea wa chama chake na kuzua hamasa kwa wapiga kura?

Kati ya Magufuli na Lowassa ni nani leo hii anaweza kujaza watu ikitokea tukawa na uchaguzi mdogo?

Lowasa Ni Kama Diamond ,anakubalkka lakini Hana mamlaka yoyote zaidi ya kwa Mke na familia yake.
 
Tuwe wakweli tu kati ya hawa viongozi wawili ni yupi anaekubali kwa wananchi?

Miezi 9 ya Magufuli madarakani imemuongezea mashabiki kuliko Lowassa alieko uraini au ni Lowassa alieko uraini ndio amejiongezea mashabiki kuliko Magufuli alieko madarakani?

Ukitokea uchaguzi mdogo leo hii kati ya Magufuli na Lowassa, ni nani anaweza kumnadi mgombea wa chama chake na kuzua hamasa kwa wapiga kura?

Kati ya Magufuli na Lowassa ni nani leo hii anaweza kujaza watu ikitokea tukawa na uchaguzi mdogo?
Lowasa atajaza watu , ila watu walewale watamchagua Magu.kwakua watu huwa na ushabiki lakin katika maamuzi sahihi huwa awafanyi makosa. Wanaangalia uhalisia na utendaji sio ushabki.(kupiga deki, kuzungusha mikono) ata kura zikirudiwa mara 100 Magu atashinda bila shaka. Uzuri wa wa Tanzania akili ya kuambiwa uchanganya na zao.
 
Back
Top Bottom