Rais Magufuli na Lowassa ni nani anakubalika?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,991
144,327
Tuwe wakweli tu kati ya hawa viongozi wawili ni yupi anaekubali kwa wananchi?

Miezi 9 ya Magufuli madarakani imemuongezea mashabiki kuliko Lowassa alieko uraini au ni Lowassa alieko uraini ndio amejiongezea mashabiki kuliko Magufuli alieko madarakani?

Ukitokea uchaguzi mdogo leo hii kati ya Magufuli na Lowassa, ni nani anaweza kumnadi mgombea wa chama chake na kuzua hamasa kwa wapiga kura?

Kati ya Magufuli na Lowassa ni nani leo hii anaweza kujaza watu ikitokea tukawa na uchaguzi mdogo?
 
Tuwe wakweli tu kati ya hawa viongozi wawili ni yupi anaekubali kwa wananchi?

Miezi 9 ya Magufuli madarakana imemuongezea mashabiki kuliko Lowassa alieko uraini au ni Lowassa alieko uraini ndio amejiongezea mashabiki kuliko Magufuli alieko madarakani?

Ukitokea uchaguzi mdogo leo hii kati ya Magufuli na Lowassa ni nani anaweza kumnadi mgombea wa chama chake na kuzua hamasa kwa wapiga kura?

Mnajisumbuuuuua kunadi na visivyonadika.

Unauliza mara ngapi hata mwaka bado
 
Ukiangalia video ya sherehe ya che nkapa utakuta magu alikuwa na mahaba na Lowassa. Mpaka hapo jibu unalo.
 
JPM mwenyewe alipokutana na Lowassa kanisani akakiri kwamba amekutana na muujiza kwa kusalimiana na lowassa
 
Akikujibu itakusaidia nn wewe licha ya familia yako!?....lakini naona umeweka Lowassa hapo,
Umedandia jambo lisilokuhusu. Unajua kuwa kuanzisha thread ni bure? Unaonaje nawe ukianzisha thread juu ya Kbosho, Lowassa, Wachagga n.k. By the way, nimeweka Lowassa hapo kama satire. Ndiyo maana nikamuuliza mleta mada kuwa hii inamsaidiaje yeye na familia yake. Wewe nawe na uKibosho wako mbio mbio kudandia treni kwa mbele kisa tu umeona Lowassa katajwa katika muktadha ambao hukuuelewa.

Na inavyoonekana thread hii umeivalia njuga kweli kweli kwa sababu unajibu kila mtu...
 
Jamani mimi nimwana ssm.
Lakini nampenda sana tena sana kutoka moyoni.
bwana white hair.
Ninachonishangaza mimi namkubali sana bwana
 
Tuwe wakweli tu kati ya hawa viongozi wawili ni yupi anaekubali kwa wananchi?

Miezi 9 ya Magufuli madarakani imemuongezea mashabiki kuliko Lowassa alieko uraini au ni Lowassa alieko uraini ndio amejiongezea mashabiki kuliko Magufuli alieko madarakani?

Ukitokea uchaguzi mdogo leo hii kati ya Magufuli na Lowassa, ni nani anaweza kumnadi mgombea wa chama chake na kuzua hamasa kwa wapiga kura?

Kati ya Magufuli na Lowassa ni nani leo hii anaweza kujaza watu ikitokea tukawa na uchaguzi mdogo?
Siasa zimewashinda kusema kweli.
 
Inategemea na hadhira na uelewa wa wanaoulizwa hilo swali....

Kwa mfano ukiuliza nani zaidi kati ya shetani na muumba kwenye kundi la waovu lazima utaambiwa kuwa shetani ni baba lao.....lakini ukiuliza swali hilo kwa wacha Mungu....kwanza na wao watakushangaa wewe kwanini umeuliza swali kama hilo........

Hata kwenye kumbi za starehe kuna jaza watu kuliko kwenye majumba ya ibada......
Hiyo haimaanishi kuwa shetani anakubalika bali kwa waliopotea na wao watalia na kusaga meno......
 
Tuwe wakweli tu kati ya hawa viongozi wawili ni yupi anaekubali kwa wananchi?

Miezi 9 ya Magufuli madarakani imemuongezea mashabiki kuliko Lowassa alieko uraini au ni Lowassa alieko uraini ndio amejiongezea mashabiki kuliko Magufuli alieko madarakani?

Ukitokea uchaguzi mdogo leo hii kati ya Magufuli na Lowassa, ni nani anaweza kumnadi mgombea wa chama chake na kuzua hamasa kwa wapiga kura?

Kati ya Magufuli na Lowassa ni nani leo hii anaweza kujaza watu ikitokea tukawa na uchaguzi mdogo?
Lowassa anapnda chati kwa spidi kubwa sana kwa sababu ameonekana ni mtulivu kwenye hekima, asiyekurupuka, asiye na vinyongo. Kipindi hiki wana CCM wengi sana wasio wanafiki wameanza kumfahamu huyu Mzee na kumkubali. Kiti cha urais kingem fit kabisa pengine kuliko wote waliopita na aliyepo
 
Tukubali kuwa tumeingia choose cha kike kumchagua mtu huyu.Ila Luna kitu tunejifunza nacho ni kwamba mtu anae gombea Urais ni lazima achunguzwe kwelikweli. Ikibainika mtu amewahi kumpiga Mke wake, au ana tabia za kupiga wstoto wake, au ni Mwenye visasi basi asigombee Urais.

lowassa alianza kujitangaza kuanzia 1995 mpaka leo(20yrs). magufuli alianza kujitangaza 2015 august(8months), na ajutumia ela yeyote katika kujitangaza, alipotangaza nia hamna aliyejua, alipochukua form ya urais hamna aliyejua, lowassa alikuwa maarufu tangu enzi za mwalimu, lowassa alikuwa maarufu ndio maada cdm wakamchukua, sasa wewe mwenyewe chambua nani anapanda nani anashuka
 
Back
Top Bottom