Magufuli augua ghafla, alazwa

Status
Not open for further replies.

Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli.
Habari tulizozipata punde zinadai kuwa Waziri wa Ujenzi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amezidiwa ghafla na kukimbizwa hospitalini huku Dodoma ambapo bunge la tisa linaendelea.

Kwa mujibu wa Naibu Spika, Job Ndugai Dk. Magufuli alikumbwa na homa ya ghafla ambapo baada ya kukimbizwa General Hospital, Dodoma, ilibainika kuwa presha yake ilikuwa juu na ana kichomi upande wa kushoto wa mbavu zake.…
 
Kuna taarifa nimezipata hivi punde kwamba waziri wa Ujenzi Jojn Magufuli ni mgonjwa na amelazwa ICU Dodoma kwa tatizo la heart attack.Naendelea kufuatilia kwa ukaribu zaidi.

Patrice Muamba
 
Waziri wa Ujenzi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amezidiwa ghafla na kukimbizwa hospitalini na kulazwa ICU huko Dodoma wakati Bnge la tisa linaendelea.Kwa mujibu wa Naibu Spika, Job Ndugai Dk. Magufuli alikumbwa na homa ya ghafla ambapo baada ya kukimbizwa Hospital ilibainika kuwa presha yake ilikuwa juu na ana kichomi upande wa kushoto wa mbavuni.


Wakati huo Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu abbas ajali huko Morogoro katika gari alilokuwa akisafiria. Amekimbizwa hospitali ya taifa ya Muhimbi kwa matibabu zaidi.

Mwenye habari zaidi atujulishe.
 
huwa nachukizwa sana na mtu anayeleta habari halafu anamalizia mwenye habari atujuze ina maana hizo habari umezitoa wapi? kwanini hicho chanzo chako usikidodose ukapata habari kamili kuliko kukimbilia hapa na kuanza kuuliza kwetu wakati wewe ndio umanzisha thread??
 
huwa nachukizwa sana na mtu anayeleta habari halafu anamalizia mwenye habari atujuze ina maana hizo habari umezitoa wapi? kwanini hicho chanzo chako usikidodose ukapata habari kamili kuliko kukimbilia hapa na kuanza kuuliza kwetu wakati wewe ndio umanzisha thread??

Come easy, go easy...............
I am wondering why you are still alive...
Mambo mengi tu yanakasirisha Tanzania...
Mkuu naona hujayaona ya Mkulo, maana roho ingekutoka...
 
FIFA_World_Cup_2010_Spain_Switzerland_midfield.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom