Magufuli augua ghafla, alazwa

Status
Not open for further replies.
Akafie mbali. He led to the death of my lovely brother coz ya maamuzi yasiyona msingi. Hata kama mtaniponda ila kiukweli mie kwangu life tu.

Fikiria mtu ana fight maisha yake yote kwa maisha ufundi wa ujenzi na kufanikisha kujenga kajumba ka kuishi. Baada ya kumaliza unakaa miaka mitano inapitshwa oda ya kuhama mnalipwa fidia 1m nyumba imecost 20m. Utaacha kujilaza barabaran upitiwe na gari?

Sio vizur kuombea mabaya lkn never will i forget this from a house to kulala kibarazan
 
Inauma saaana
 
Pole sana ndugu. Maamuzi mengi ya kikatili ya huyu jamaa yamesababisha maafa kwa wengi.

Ni ushabiki tuu unaowaponza watu wasifuatilie alikuwa mtu wa aina gani na ni wa aina gani mpaka sasa.

Wangeenda pale wizarani kwake wakajua kumhusu wangerudi na mawazo tofauti kabisa.
 
Akafie mbali. He led to the death of my lovely brother coz ya maamuzi yasiyona msingi. Hata kama mtaniponda ila kiukweli mie kwangu life tu.

Fikiria mtu ana fight maisha yake yote kwa maisha ufundi wa ujenzi na kufanikisha kujenga kajumba ka kuishi. Baada ya kumaliza unakaa miaka mitano inapitshwa oda ya kuhama mnalipwa fidia 1m nyumba imecost 20m. Utaacha kujilaza barabaran upitiwe na gari?

Sio vizur kuombea mabaya lkn never will i forget this from a house to kulala kibarazan

Pole sana mkuu
 
Namkumbuka magufuli alikuja Nmg boder wakati wa bomoa bomoa kupisha ujenzi,mfanyabishara mmoja akamuuliza mbona wafanyabiashara wenzetu wa kny wamelipwa wakati wakiendelea kutafuta mapango mbona hapa kwetu tz wamelipwa wenye nyumba tu??Akajibu mfanya biashara yyte asiye ridhika kuhamisha biashara yake ahamie upande wa kny akalipwe huko......
 
Naomba mnijuze juu ya uvumi wa kuwa waziri wa miundombinu yupo dodoma anaumwa na kuna mdogo wangu kaniambia hilo

Hawa watu yafaa tusiwasikilize kwa kila wanachoongea, jua binadamu kuugua ni jambo la kawaida kabisa, si jambo la kushangaza, kwani nanyi amuamini kuwa mtu aweza kuumwa??, propaganda zishazoeleka Sasa, kiasi imekuwa ni burudani tu, kilichobaki tunasonga mbele na mabadiliko tu.
 
Akafie mbali. He led to the death of my lovely brother coz ya maamuzi yasiyona msingi. Hata kama mtaniponda ila kiukweli mie kwangu life tu.

Fikiria mtu ana fight maisha yake yote kwa maisha ufundi wa ujenzi na kufanikisha kujenga kajumba ka kuishi. Baada ya kumaliza unakaa miaka mitano inapitshwa oda ya kuhama mnalipwa fidia 1m nyumba imecost 20m. Utaacha kujilaza barabaran upitiwe na gari?

Sio vizur kuombea mabaya lkn never will i forget this from a house to kulala kibarazan
Pole sana amini Mola yupo nawe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom