Bei Mbaya
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 2,262
- 843
Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli, jana alitumia mkutano wa kampeni kumpiga vijembe Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba kuwa alivunja sheria za nchi alipopanda punda na kumtembeza kwenye barabara ya lami katika uzinduzi wa kampeni za chama hicho wakati wa maandamano yaliyoishia Uwanja wa Sokoine.
Hata sheria namba 19 ya mwaka 2008 ya Ustawi wa Wanyama huwezi ukampanda punda anavuja damu eti unakwenda kwenye kampeni msichague watu ambao hawajui hata sheria, alisema Dk Magufuli/QUOTE]
Prof. Lipumba alipanda mkokoteni uliokokotwa na punda