Magufuli lawa neno jipya la Kiswahili maarufu Kenya

Nakumbuka miaka ileeee, waliwahi kutumia jina la Kingunge wakimaanisha viongozi wa juu; Utasikia wanasema, Vingune wa Kenya, mara Kingunge wa Mombasa nk.
 
Nitafanya magufuli hadi nifaulu mtihani katika kipindi kijacho.(magufuli/bidii(
Umekosea,inatumika hivi,ukiskia mwanamke anasema 'Mme wangu siku hizi amekuwa magufuli'.Jua ya kuwa hanunuliwi tena mafuta ya kujipaka usoni,ameambiwa ajipake ya kupikia.Jua ya kuwa mwanamke huyo mme wake ametoboa kwa msumari sufuria ya kupikia ugali,ili maji ya kupikia yasipite kiwango flani ndo ugali ukipikwa usibaki hata kidogo!
 
Kesi yenu ya ICC/ICJ kupinga urais wa Magufuli imefikia wapi?
Magufuli kanyamazisha upinzani wote to almost nil!
Magufuli utampenda tu hata kama hautaki!
Mafisadi tu ndio wanamchukia Magufuli!
Hakuna wa kuthubutu kumshitaki Magufuli!
 
Wakati kubwa la mafisadi lilitaka kuingia Ikulu...yangekuwa maajabu ya 8 ya dunia!
The man is totally a changed person! He could have done wonders! Only that we had to choose one of the two angels, what a blessing! Magufuli & Lowasa!
 
hawa wakenya hawakawii kuiba mali za watu hivyo Jina Magufuli kuibwa sijashangaa maana ndo tabia zao sasa sijui lini watatusikia tukimtajataja Ruto huku kwetu.
 
Back
Top Bottom