Waziri Magufuli apata PhD

Tatizo langu na Magufuli ni uuzwaji wa majumba Oysterbay, siwezi kulisahau hilo kama ningeweza ningem-brand kwenye paji lake la uso alama kwa ajili ya hilo, Hongera!
 
Namkubali mno Dr Magufuli....go go go for Presidency
HIVYI NI KWA NINI MABARABARA MENGI YANAYOJENGWA NA MAGUFURI NI MABOVU ALTHOUGH ANAYAJENGA KWA WINGI WITH PLENTY OF MONEY LAKINI HAYAKAI HATA MWAKA MMOJA ||wazo|| KWANINI ASIJENGE BRBR CHACHE IMARA KAMA ZILIZOKUWA ZINAJENGWA NA MOWLEM AMBAZO ZILIKUWA NA GUARANT YA 20~30YRS JE U~DR WA MAGUFULI UNAOPARATE IN SCIENTIC~WISE
 
BabaBabuu,
Huu wimbo wa Mafisadi/Ufisadi naona sasa unawafanya watu wengine wawe wapumbavu wa kufikiri na sasa hata wa kusikiliza.

Sidhani kama umeshawahi kufanya Ph.D maana kwanza naona unafikiri Ph.D ni kufundishwa kama MBA. Doctorate haipatikani hivyo, lazima uipotezee masaa mengi kwa siku, kusoma vitabu, majarida, kufanya experiments, presentations na hata kufundisha na ni siku kadhaa kwa wiki kama sio kila siku. Ph.D unahangaika na vitu usivyovijua mpaka upate ufumbuzi wake. Ndio maana Ph.D halisi hazitolewi kirahisi.

MBA unaweza kuipata kwa kujisomea tu waliyoandika wengine na kujibu maswali ya test/mitihani. Sana sana utaandika riport za mambo ambayo ni ya kawaida. Unaweza ukapata MBA hata kwa miezi sita tu na za online ndio itategemea tu nani anakusaidia.

Tusikubali kudanganywa na watu wanaoibaka elimu yetu kutokana na nguvu zao za kifedha/kisiasa. Anayetaka degree lazima aifanyie kazi ili utendaji wake wa aliyoyasomea ulingane na elimu yake.

Mliopo UDSM tupeni data za hii Ph.D ya huyu mkuu.

Umeongea point mkuu
 
Nani alisema viongozi wa siasa hawawezi kupata Phd kutoka UDSM? Magufuli tayari alikuwa na M.Sc ya UDSM na alianza kusomea hiyo Phd miaka 5 iliyopita. Sasa politicization inatoka wapi?. Mh Magufuli anastahili pongezi. Kwani tofauti na wanasiasa wengine (Nchimbi, Mary Nagu, Mahanga, Chegeni, etc) wenye Phd fake kutoka so called Washington International University, yeye kaisomea kweli kweli. Toa pongezi inapostahili..
Uliwahi kufuatilia Ben wakati anahoji Phd ya huyo unayemtetea? Kulikuwa na flaws nyingi tu katika kuipata... kanyaga twende
 
Khe kheeeeeee kheeeeeee genius fulani hivi!! Genius wa nini!? Wa kuidharau katiba, kukingia kifua mafisadi (sifukui makaburi ya zamani) genius wa kulidharau Bunge, genius wa kuteua na kutengua, genius wa kusema uongo (nitaiheshimu na kuilinda katiba ya nchi) genius uuuuuuuuuuuuucccc@&)*#

huyu jamaa ni genius fulani hivi, nadhani anaweza kulikomboa taifa letu
hongera sana JONPOMMAGU!
 
Waungwana, kwa heshima na taadhima ningependa kuomba mwenye copy ya phD ya magufuli aweze ku-share nasi hapa kwenye jamvi. Nia na sababu ya kuomba nakala ni kutaka kufanya academic references kama ilivyo desturi ya Literature review na pia kuondoa uvumi na tetesi zisizoisha kutoka mitaani ikiwa ni pamoja na ku-suggest mawazo mapya kwenye eneo husika la utafiti...

Sababu nyingine ni kuwa: wana-taaluma na wasomi wengi huwa wana utaratibu wa ku-share documents(publications) na mara nyingi huwekwa online kwa ajili ya references. cha kushangaza ni kuwa phD ya bwana mkubwa imefanywa siri na sijaona hata published paper yoyote ya magufuli ikiwa online. Elimu ni bahari...Let us share!
 
Kwani hujui kuwa Mods nao wanapenda kuendelea kuishi?

Wanaogopa yasije yakawakuta yaliyomkuta mpendwa wetu Ben saa8.....

[HASHTAG]#Bring[/HASHTAG] back our beloved Ben saa8
 
Kwani hujui kuwa Mods nao wanapenda kuendelea kuishi?

Wanaogopa yasije yakawakuta yaliyomkuta mpendwa wetu Ben saa8.....

[HASHTAG]#Bring[/HASHTAG] back our beloved Ben saa8
okay. nimekuelewa mkuu. ila sidhani kama phD doc ni bidhaa kama bange etc. waruhusu tu mjadala uwe huru ili wenye nia dhabiti wa-share nasisi hiyo document. kuna jamaa aliahidi kuileta humu...
 
Waungwana, kwa heshima na taadhima ningependa kuomba mwenye copy ya phD ya magufuli aweze ku-share nasi hapa kwenye jamvi. Nia na sababu ya kuomba nakala ni kutaka kufanya academic references kama ilivyo desturi ya Literature review na pia kuondoa uvumi na tetesi zisizoisha kutoka mitaani ikiwa ni pamoja na ku-suggest mawazo mapya kwenye eneo husika la utafiti...

Sababu nyingine ni kuwa: wana-taaluma na wasomi wengi huwa wana utaratibu wa ku-share documents(publications) na mara nyingi huwekwa online kwa ajili ya references. cha kushangaza ni kuwa phD ya bwana mkubwa imefanywa siri na sijaona hata published paper yoyote ya magufuli ikiwa online. Elimu ni bahari...Let us share!

Sawa mkuu. Wapo wengine wanaihitaji hiyo thesis waifanyie antipragialism test. Inasemekana "copy & paste" iliyomo ni kufuru!
 
Usemacho ni sawa sisi wana taaluma( elites) tuna share our knowledge na huwa hatufichi namna tulivyopata elimu zetu kwani ndio mavuno yetu ktk kusoma kwetu.
Elimu sio bangi kwamba itafanyika kimafichoni

Back
Top Bottom