Waziri Magufuli apata PhD

Upo Juu mheshimiwa wala haliitaji kurushiwa slides ili lieleweke...

wakati upo pale chemistry dept siku za weekend nilikua nafrai sana

tulipokuwa tunapanga mstari kununua chakula pale cafteria two ukiwa na

wanao, yani wewe ni mzalendo wa ukweli. Alafu pili ni jinsi ambavyo huwa

unafunika kila wizara upewayo yani hata wakufiche kwenye wizara

isiyojulikana u'll still shine.

wenzio ninao wakubali ambao ni product za ukweli pale mlimani na ambazo

hunifanya nijikubali kusoma chuo walichosoma wao tena baadhi wakiwa ni

walimu wangu ni pamoja na:-

1.Prof. LUHANGA
2.prof Mark Mwandosya,
3.prof sarungi
4.prof mwakyusa
5.prof kabudi
6.prof nkunya
7.prof Lipumba

yani hizo product ni balaa tupu, unaambiwa perfomance zao zinatambulika

kiukweli, sasa unapofundishwa na watu kama hawa lazima uwe wa ukweli

bila hivyo lazima ukimbie kambi kama wale wanaosoma mzumbe hahahahah!
 
Hongera sana Mwl. John Joseph, umeonyesha njia na wanafunzi wako tutafuata nyayo zako!
 
Hongera sana Mheshimiwa Dr. JPM, Kwa nafasi yako katika jamii na kuweza kupata Nondo hiyo kutoka UDSM unakuwa umefanya kazi ya ziada.

Congrat's once again.
 
huyu jamaa ni genius fulani hivi, nadhani anaweza kulikomboa taifa letu

Hapa ndipo wadanganyika mnapopotoka, wengi wenu mnauwezofinyu wa kufikiri na huku mkiamini matatizo yenu yanaweza kutatuliwa kirahisi rahisi tu!

Otherwise, congrats Magufuli for your academic achievement!!
 
Upo Juu mheshimiwa wala haliitaji kurushiwa slides ili lieleweke...

wakati upo pale chemistry dept siku za weekend nilikua nafrai sana

tulipokuwa tunapanga mstari kununua chakula pale cafteria two ukiwa na

wanao, yani wewe ni mzalendo wa ukweli. Alafu pili ni jinsi ambavyo huwa

unafunika kila wizara upewayo yani hata wakufiche kwenye wizara

isiyojulikana u'll still shine.

wenzio ninao wakubali ambao ni product za ukweli pale mlimani na ambazo

hunifanya nijikubali kusoma chuo walichosoma wao tena baadhi wakiwa ni

walimu wangu ni pamoja na:-

1.Prof. LUHANGA
2.prof Mark Mwandosya,
3.prof sarungi
4.prof mwakyusa
5.prof kabudi
6.prof nkunya
7.prof Lipumba

yani hizo product ni balaa tupu, unaambiwa perfomance zao zinatambulika

kiukweli, sasa unapofundishwa na watu kama hawa lazima uwe wa ukweli

bila hivyo lazima ukimbie kambi kama wale wanaosoma mzumbe hahahahah!

Hapo nilipo bold sikubaliani na wewe hata chembe, infact umenifanya nione andiko lako lote limekaa kishabiki zaidi. Natilia shaka weledi wako!!
 
Msomi mmoja maarufu alisema hivi, kama mvua inanyesha na haionyeshi kama imenyesha basi hakuna maana ya mvua hiyo kwepo.
Mhe. Magufuli siyo tu kwamba anajua anachokifanya bali kila anapopita anaacha "ATHALI HASI" Mfano:

Mkuu natumaini unamaanisha "Athari chanya" kwani maelezo yako yanakinzana na hiyo "athari hasi" yaani 'Negative effective"
 
Nadhani Dr. JPM anafaa sana kuwa Prime Minister na si Presidaa. Ni mtendaji aliyetukuka. Kile cheo cha Longolongo hakimfai. Yeye anapaswa asimamie watendaji wenzake ambao baadhi wana Phd feki ili wachape mzigo kisawasawa.
 
Upo Juu mheshimiwa wala haliitaji kurushiwa slides ili lieleweke...

wakati upo pale chemistry dept siku za weekend nilikua nafrai sana

tulipokuwa tunapanga mstari kununua chakula pale cafteria two ukiwa na

wanao, yani wewe ni mzalendo wa ukweli. Alafu pili ni jinsi ambavyo huwa

unafunika kila wizara upewayo yani hata wakufiche kwenye wizara

isiyojulikana u'll still shine.

wenzio ninao wakubali ambao ni product za ukweli pale mlimani na ambazo

hunifanya nijikubali kusoma chuo walichosoma wao tena baadhi wakiwa ni

walimu wangu ni pamoja na:-

1.Prof. LUHANGA
2.prof Mark Mwandosya,
3.prof sarungi
4.prof mwakyusa
5.prof kabudi
6.prof nkunya
7.prof Lipumba

yani hizo product ni balaa tupu, unaambiwa perfomance zao zinatambulika

kiukweli, sasa unapofundishwa na watu kama hawa lazima uwe wa ukweli

bila hivyo lazima ukimbie kambi kama wale wanaosoma mzumbe hahahahah!

Mkuu hapo nilipobold umeniacha hoi Kwi! kwi!
 
Dr NCHIMBI
Dr.KAMARA
Dr.MZINDAKAYA
.
.
.
.

Hawa wote wizi mtupu!
Tuowaone nao wakivaa majoho ya PhD ndio tujue kweli ni madaktari wa falsafa.

BTW: Nampongeza Magufuli kwa kupata shahada ya uzamivu.
 
Hapo nilipo bold sikubaliani na wewe hata chembe, infact umenifanya nione andiko lako lote limekaa kishabiki zaidi. Natilia shaka weledi wako!!

Kaka maana haikuwa hivyo ulivyofikiria:-

nazungumzia wale wakuu wenzake walioporwa phd zao na kukimbilia

mzumbe, huwajui kwani? hiyo ndo list.....

Dr NCHIMBI
Dr.KAMARA
Dr.Nagu
Dr.MZINDAKAYA
 
nini wewe?kuna wizara lililooza kama hili...please give me a break

Nakubaliana na wewe Kigogo mia kwa mia, katika mawaziri wasiomsaidia Kikwete huyu ni mmoja wapo. Kombani na katibu wake mkuu wameshindwa kabisa kuisimamia Local government mpaka wafadhili wanagoma kuendelea kuifadhili local govt. reform!! Wapo hapo kula hele za wafadhili tu they have nothing to show as achievements for the amount of funds they have received!
 
DR Magufuli Hongera sana

HUyuu jamaa namkubali kwani wale waliosoma Tosamaganga alikuwa anafundisha somo la CHEMISTRY

Hiki ni kichwa
 
Back
Top Bottom