Waziri Magufuli apata PhD

Tangawizi

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
5,171
3,893
Nimesikia tetesi kuwa Mheshimiwa Magufuli amepata Phd Chuo kikuu cha Dar Es Salaam. Kuna ukweli wowote kuhusu hili?
 
Itakuwa ajabu!If so ,now UDSM itakuwa politised now.Niambieni Dr Hosea wa Rushwa ana Phd toka wapi?
Duu we jamaa wa wapi wewe? kwa taarifa yako ni kwawaida sana kuwa na Phd kwa viongozi, na kwa mtu kama magufuli sio ajabu...hosea alipata Phd kabla ajaingia TAKUKURU
acha pupa kijana unatia aibu

lahhhh..mwili umenisisimka nilivyosoma comment yako, sijawahi kuona comment dhaifu kama hii..ngoja nizime na computer nilale kabisa
lahhhhhh
 
mh! watu wengine! kwani PhD kitu gani? hata wewe piga msuli tu mvua chache zijazo unaipata.
 
Duu we jamaa wa wapi wewe? kwa taarifa yako ni kwawaida sana kuwa na Phd kwa viongozi, na kwa mtu kama magufuli sio ajabu...hosea alipata Phd kabla ajaingia TAKUKURU
acha pupa kijana unatia aibu

lahhhh..mwili umenisisimka nilivyosoma comment yako, sijawahi kuona comment dhaifu kama hii..ngoja nizime na computer nilale kabisa
lahhhhhh

Hivi wewe semenya ni mwanamke au mwanaume? Kuna maswali bado yanatatiza uma wa dunia. Just curious and would like to hear from wewe mwenyewe.
 
Duu we jamaa wa wapi wewe? kwa taarifa yako ni kwawaida sana kuwa na Phd kwa viongozi, na kwa mtu kama magufuli sio ajabu...hosea alipata Phd kabla ajaingia TAKUKURU
acha pupa kijana unatia aibu

lahhhh..mwili umenisisimka nilivyosoma comment yako, sijawahi kuona comment dhaifu kama hii..ngoja nizime na computer nilale kabisa
lahhhhhh

Acha kushushua wenzio wakati na wewe mwenyewe upo shalo! Hosea ka graduate mwaka 2007. Je wakati huo hakuwa mkurugenzi wa TAKUKURU na alikuwa hajawatakasa RINCHIMONDULI?
 
Nimesikia tetesi kuwa Mheshimiwa Magufuli amepata Phd Chuo kikuu cha Dar Es Salaam. Kuna ukweli wowote kuhusu hili?

Sina uhakika kama amepata, ila ni zaidi ya miaka 3 iliyopita nimekuwa nikisikia kuwa anasoma for Phd UDSM.

Labda the way amesoma / amepata ndipo usanii unaweza kujitokeza, otherwise amesoma!!
 
Magufuli amekuwa anafanya phD pale Mlimani kwa muda mrefu....it must have been from around 2006/2007 academic year.Kuna wakati fulani nilikuwa nafuatilia transcripts zangu pale Mlimani na kukutana nae akifanya utaratibu wa ada pale chuoni....nilishangaa maana katika hali ya kawaida unategemea angefanyiwa hayo malipo na mtu kwa niaba yake.

Rafiki yangu mmoja alikuwa ananiambia akiwa waziri wa miundo mbinu alikuwa anafika sana pale chuo na nadhani alikuwa na marafiki wengi pale chemistry department maana alikuwa anakaa pale nje ya department na kuongea na wazee wa pale chemistry kwa muda mrefu sana.
 
Inamaana alikua anatumia muda hapo badala ya ofisini kwake au?
 
Acha kushushua wenzio wakati na wewe mwenyewe upo shalo! Hosea ka graduate mwaka 2007. Je wakati huo hakuwa mkurugenzi wa TAKUKURU na alikuwa hajawatakasa RINCHIMONDULI?
dogo unamekuwa honored lini hiyo PHd, sisemei mwaka wa kugraduate, alimaliza paper yake kabla hata ajaingizwa TAKUKURU..na pia hata yeye kuwa na PHD sio ajabu ni kawaida tuu mkuuu..kama hauna soma miaka 3 unaipata...au vp kaka
 
Nani alisema viongozi wa siasa hawawezi kupata Phd kutoka UDSM? Magufuli tayari alikuwa na M.Sc ya UDSM na alianza kusomea hiyo Phd miaka 5 iliyopita. Sasa politicization inatoka wapi?. Mh Magufuli anastahili pongezi. Kwani tofauti na wanasiasa wengine (Nchimbi, Mary Nagu, Mahanga, Chegeni, etc) wenye Phd fake kutoka so called Washington International University, yeye kaisomea kweli kweli. Toa pongezi inapostahili..
 
Magufuli amekuwa anafanya phD pale Mlimani kwa muda mrefu....it must have been from around 2006/2007 academic year.Kuna wakati fulani nilikuwa nafuatilia transcripts zangu pale Mlimani na kukutana nae akifanya utaratibu wa ada pale chuoni....nilishangaa maana katika hali ya kawaida unategemea angefanyiwa hayo malipo na mtu kwa niaba yake.

Rafiki yangu mmoja alikuwa ananiambia akiwa waziri wa miundo mbinu alikuwa anafika sana pale chuo na nadhani alikuwa na marafiki wengi pale chemistry department maana alikuwa anakaa pale nje ya department na kuongea na wazee wa pale chemistry kwa muda mrefu sana.
acha majungu mkuu
 
Back
Top Bottom