Magufuli, Jiuzulu kwa hiari yako

Kweli Wtz kwa namna hii tutaendelea kuwa masikini siku zote.Sasa Magufuli ajiuzuru amekosa nini?kuongeza tshs 100/= Uache kuwaambia mafisadi papa majiuzuru unataka ajiuzuru mtu anayetekeleza majukumu yake.na akishindwa kutimiza muanze kumcheka?kweli aibu kubwa
 
Hoja ya kumtaka Magufuli haina mshiko kitaifa kwanza binafsi nampongeza kwa kupandisha gharama ya Kivuko, yapo Mambo mengi ambayo yanawagusa watz na yanaongeza ugumu wa maisha si 100 kupanda kwa gharama za umeme na matatizo kibao yanayolikabili taifa letu nilitegemea wananchi wangepinga Hilo na ongezeko la shilingi 100 ambayo imedumu kwa ZAIDI ya miaka kumi na moja gharama za uendeshaji ni kubwa acha aongeze na kikubwa ni kuweka udhibiti mzuri wa kinachokusanywa. Magufuli chapa kazi
walewale watoto wa mama lazima useme hivyo , ungekuwa mtoto wa mlala hoi usingesema hovyo,kunahaja ya kuchunuza uraia wako
 
Maisha yanazidi kuwa magumu. Gharama za maisha zinapanda kila siku. Maghufuli kaamua kuongezea gharama za maisha kwa WTZ. Serikali inatakiwa ikate matumizi ili kuwa na kuwa na balance budget nzuri kwa nchi.

Leo ktk TZ tunaona vinyume kabisa. Serikali inaonngeza matumizi yao, posho zao. Matokeo yake, Wananchi ndiyo wanatakiwa walipe hizo gharama za matumizi ya kijinga ya serikali. Tunapandishiwa Kodi, Nauli, ili maisha ya Vigogo yaendelee.

Hii siyo society nzuri. Tunaomba Waziri Maghufli awajibike kwa kujiuzulu kwa sababu ya kuendeleza mpango huu wa serikali bila ya manufaa ya Wananchi.

Kwanini WTZ walipishwe gharama kubwa za nauli kufidia matumizi ya kijinga(posho) ya Serikali? Kwa nini tuwalipie ili tubalance budget ya serikali? Kwa nini WTZ? Kwa nini tusikate matumizi?

Nakubali kwamba Maghufuli unatekeleza mpango huu ili uwafurahishe Vigogo wa nchi,ndiyo maana hata Dewji kaamua hadharani kukusuport. Tunakuoma Ujiuzulu; hii ni Kashfa kwa nchi yetu.

DR. JOHN POMBE MAGUFULI HAWEZI KUJIUZULU KWA AJILI YA KUWAFURAHISHA WAJINGA WACHACHE WASIOTAKA KUFANYA KAZI BALI KAZI YAO NI MAJUNGU TU.

TANZANIA INA WATU MILIONI ZAIDI YA 40 HAWEZI KUONDOLEWA NA KIKUNDI CHA WAJINGA WANAOTUMIWA NA WABUNGE WAO KWA MANUFAA YA WABUNGE HAO.

MBUNGE MWENYE UCHUNGU NA WANANCHI WAKE HAWEZI KUWAPOTEZEA MUDA WATU WAKE KUJADILI ONGEZEKO LA SHILINGI MIA!!!!

TENA NAPATA HASIRA ZAIDI KUONA MBUNGE MWENYE ELIMU YA DOCTORATE (Phd) ANASEMA ALIONGEA NA WAZIRI MKUU WA NCHI NA AKAPOTEZA MUDA WAKE KUJADILI ISSUE YA SHILINGI MIA !!!!

NASHAURI AKAPIMWE AKILI KWA KUMPOTEZEA MUDA PM MWENYE MAJUKUMU MAZITO KWA AJILI YA TATIZO LA SHILINGI MIA. MNAFIKI MKUBWA HUYO MBONA POSHO YA LAKI MBILI ALICHEKELEA NA ASIPINGE KWA KUWA INA MADHARA KWA NCHI NZIMA?

WAKAZI WA KIGAMBONI TUMIENI AKILI WANAWAZUGA HAO WABUNGE WENU WANGEKUWA NA NIA NZURI NANYI MNGEWAONA KWENYE MAFURIKO KAMA ALIVYOFANYA MHESHIMIWA SHAA AMBAYE SI MBUNGE WA DSM BALI ANA MAPENZI NA WATANZANIA NA SIYO HAO WABUNGE WENU WABAGUZI.

NA NDIYO MAANA HATA KWENYE MAFURIKO WALIUCHUNA KWA
KUWA WAO HAWANA HASARA NA MAISHA YENU HAMJAGUNDUA TU UNAFIKI WA WABUNGE WENU TU?

MTUME MUHAMADI S.A.W. ALIPINGWA SANA NA NDUGUZE MAKURESHI
NA
NABII ISA ALIPINGWA VIKALI SANA NA NDUGUZE WAYAHUDI HATA WAKAMUUA

KWA HILI SISHANGAI KWA DR. JOHN KUPINGWA NA NDUGU ZAKE WANA CCM WAKATI AKITEKELEZA SHERIA ZILEZILE WALIZOZITUNGA WAO WENYEWE CCM NA WAKAMCHAGUA RAIS HUYOHUYO ALIYE MTEUA DR. JOHN POMBE MAGUFULI

SASA HAPO HAWAMPINGI DR. JOHN BALI ALIYEMTEUA AMBAYE NI JK MTOTO WA JIJI HILOHILO ANALOTAMBIA MTEMVU SIJUI YEYE ALIKUWA WAPI ASITEULIWE WAKATI ANALIJUA JIJI!! WAMEANZISHA ZOGO LINALOITIA AIBU NCHI YETU NJE YA NCHI KWA UBINFSI WAO!!

KIGAMBONI UKICHUKUA ENEO LOTE LA TANZANIA UKALIGAWANYA NADHANI ITAKUWA SAWA NA UKUBWA WA KIJIJI NILIKOZALIWA SASA MH.MTEMVU ANA TETEA KIJIJI MPAKA ANAHALALISHA WATANZANIA WENGINE(CHATO, BUSISI,PANGANI, KILOMBERO NA KWINGINEKO) BORA WATESEKE KWA NAULI HIYOHIYO KULIKO ENEO LA KIJIJI ANALOLIONGOZA YEYE INASHANGAZA SANA KUWA NA VIONGOZI KAMA HUYU.

KAKA DR. JOHN POMBE MAGUFULI USIFE MOYO NDUGU YANGU KAMWE USIKUBALI KUJIUZULU NA WALA KUOMBA RADHI KWA KIPI ULICHOWAKOSEA WANAFIKI HAO? KANYAGA TWENDE WATARUDI KWENYE MSTARI WENYEWE WATAKAPOSHINDWA KUPIGA MBIZI. USIJIBU KITU ANZA ISSUE NYINGINE NA USIDEAL NA MINOR ISSUES KAMA ZA HAO WASIOTAKA KUAMBIWA UKWELI BALI UNAFIKI TU. MUNGU YUKO PAMOJA NAWE
 
Kama nchi kma Kenya ambayo haina madini na raslimali kama Tanzania inaweza kuweka vivuko vya bure huko Mombasa na kwingineko ni kwanini Dr Magufuli apandishe bei ya hata hicho kidogo kinacholipwa na watanzania ambao nchi yao imejaaliwa madini kibao na raslimali lukuki?

Kumbe bado kuna 'free lunch' katika nchi nyingine. Hongera zao kama ni kweli. Lakini hapa si tulikataa ujamaa? Kwa ujamaa nadhani tungeweza kufikiria kusafiri bure kwa feri. Hizo zama zimepita sidhani kama zitarudi. Tufikirie ubepari zaidi na tukomae.
 
DR. JOHN POMBE MAGUFULI HAWEZI KUJIUZULU KWA AJILI YA KUWAFURAHISHA WAJINGA WACHACHE WASIOTAKA KUFANYA KAZI BALI KAZI YAO NI MAJUNGU TU.

TANZANIA INA WATU MILIONI ZAIDI YA 40 HAWEZI KUONDOLEWA NA KIKUNDI CHA WAJINGA WANAOTUMIWA NA WABUNGE WAO KWA MANUFAA YA WABUNGE HAO.

MBUNGE MWENYE UCHUNGU NA WANANCHI WAKE HAWEZI KUWAPOTEZEA MUDA WATU WAKE KUJADILI ONGEZEKO LA SHILINGI MIA!!!!

TENA NAPATA HASIRA ZAIDI KUONA MBUNGE MWENYE ELIMU YA DOCTORATE (Phd) ANASEMA ALIONGEA NA WAZIRI MKUU WA NCHI NA AKAPOTEZA MUDA WAKE KUJADILI ISSUE YA SHILINGI MIA !!!!

NASHAURI AKAPIMWE AKILI KWA KUMPOTEZEA MUDA PM MWENYE MAJUKUMU MAZITO KWA AJILI YA TATIZO LA SHILINGI MIA. MNAFIKI MKUBWA HUYO MBONA POSHO YA LAKI MBILI ALICHEKELEA NA ASIPINGE KWA KUWA INA MADHARA KWA NCHI NZIMA?

WAKAZI WA KIGAMBONI TUMIENI AKILI WANAWAZUGA HAO WABUNGE WENU WANGEKUWA NA NIA NZURI NANYI MNGEWAONA KWENYE MAFURIKO KAMA ALIVYOFANYA MHESHIMIWA SHAA AMBAYE SI MBUNGE WA DSM BALI ANA MAPENZI NA WATANZANIA NA SIYO HAO WABUNGE WENU WABAGUZI.

NA NDIYO MAANA HATA KWENYE MAFURIKO WALIUCHUNA KWA
KUWA WAO HAWANA HASARA NA MAISHA YENU HAMJAGUNDUA TU UNAFIKI WA WABUNGE WENU TU?

MTUME MUHAMADI S.A.W. ALIPINGWA SANA NA NDUGUZE MAKURESHI
NA
NABII ISA ALIPINGWA VIKALI SANA NA NDUGUZE WAYAHUDI HATA WAKAMUUA

KWA HILI SISHANGAI KWA DR. JOHN KUPINGWA NA NDUGU ZAKE WANA CCM WAKATI AKITEKELEZA SHERIA ZILEZILE WALIZOZITUNGA WAO WENYEWE CCM NA WAKAMCHAGUA RAIS HUYOHUYO ALIYE MTEUA DR. JOHN POMBE MAGUFULI

SASA HAPO HAWAMPINGI DR. JOHN BALI ALIYEMTEUA AMBAYE NI JK MTOTO WA JIJI HILOHILO ANALOTAMBIA MTEMVU SIJUI YEYE ALIKUWA WAPI ASITEULIWE WAKATI ANALIJUA JIJI!! WAMEANZISHA ZOGO LINALOITIA AIBU NCHI YETU NJE YA NCHI KWA UBINFSI WAO!!

KIGAMBONI UKICHUKUA ENEO LOTE LA TANZANIA UKALIGAWANYA NADHANI ITAKUWA SAWA NA UKUBWA WA KIJIJI NILIKOZALIWA SASA MH.MTEMVU ANA TETEA KIJIJI MPAKA ANAHALALISHA WATANZANIA WENGINE(CHATO, BUSISI,PANGANI, KILOMBERO NA KWINGINEKO) BORA WATESEKE KWA NAULI HIYOHIYO KULIKO ENEO LA KIJIJI ANALOLIONGOZA YEYE INASHANGAZA SANA KUWA NA VIONGOZI KAMA HUYU.
KAKA DR. JOHN POMBE MAGUFULI USIFE MOYO NDUGU YANGU KAMWE USIKUBALI KUJIUZULU NA WALA KUOMBA RADHI KWA KIPI ULICHOWAKOSEA WANAFIKI HAO? KANYAGA TWENDE WATARUDI KWENYE MSTARI WENYEWE WATAKAPOSHINDWA KUPIGA MBIZI. USIJIBU KITU ANZA ISSUE NYINGINE NA USIDEAL NA MINOR ISSUES KAMA ZA HAO WASIOTAKA KUAMBIWA UKWELI BALI UNAFIKI TU. MUNGU YUKO PAMOJA NAWE
 
When can we draw a line between ujamaa tunaoubeza ambao ulituwezesha kupata huduma nyingi kwa gharama kidogo, na huu ubepari ambao tunaufagilia ila hatutaki kulipia gharama zake?
 
Kumbe bado kuna 'free lunch' katika nchi nyingine. Hongera zao kama ni kweli. Lakini hapa si tulikataa ujamaa? Kwa ujamaa nadhani tungeweza kufikiria kusafiri bure kwa feri. Hizo zama zimepita sidhani kama zitarudi. Tufikirie ubepari zaidi na tukomae.

Kwani ktk Ubepari hakuna cheap of free public services? Nenda ukaona ktk nchi za kibepari utagundua kuna public services nyingi tu ambazo ni za bure.
 
Fuatilieni uharisia wa mambo, ongezeko la nauli ni kwa ajili kupunguza deficit ktk gharama za uendeshaji na pale hawana faida. Vinginevyo serikali ambayo sisi wote tunailipia kodi ndiyo iendelee ku dish pesa kwa ajili ya kuwasafirisha bure hao wakazi wa Kigamboni.
 
Kama tatizo ni deficit, makosa ni ya Serikali. Serikali haijui jinsi ya kukusanya hela vizuri, ndiyo maana kunatokea vitu kama hivyo vya deficit.

Serikali imeona solution ni kuongeza nauli, wakati hilo siyo tatizo la pale Kigamoboni. Tatizo, ni ukusanyaji mbovu wa hiyo nauli. Wewe utasikia hata hiyo 200 waliyoipandisha, utasikia baadaye matokeo yake ni yale yale.
 
DR. JOHN POMBE MAGUFULI HAWEZI KUJIUZULU KWA AJILI YA KUWAFURAHISHA WAJINGA WACHACHE WASIOTAKA KUFANYA KAZI BALI KAZI YAO NI MAJUNGU TU.

TANZANIA INA WATU MILIONI ZAIDI YA 40 HAWEZI KUONDOLEWA NA KIKUNDI CHA WAJINGA WANAOTUMIWA NA WABUNGE WAO KWA MANUFAA YA WABUNGE HAO.

MBUNGE MWENYE UCHUNGU NA WANANCHI WAKE HAWEZI KUWAPOTEZEA MUDA WATU WAKE KUJADILI ONGEZEKO LA SHILINGI MIA!!!!

TENA NAPATA HASIRA ZAIDI KUONA MBUNGE MWENYE ELIMU YA DOCTORATE (Phd) ANASEMA ALIONGEA NA WAZIRI MKUU WA NCHI NA AKAPOTEZA MUDA WAKE KUJADILI ISSUE YA SHILINGI MIA !!!!

NASHAURI AKAPIMWE AKILI KWA KUMPOTEZEA MUDA PM MWENYE MAJUKUMU MAZITO KWA AJILI YA TATIZO LA SHILINGI MIA. MNAFIKI MKUBWA HUYO MBONA POSHO YA LAKI MBILI ALICHEKELEA NA ASIPINGE KWA KUWA INA MADHARA KWA NCHI NZIMA?

WAKAZI WA KIGAMBONI TUMIENI AKILI WANAWAZUGA HAO WABUNGE WENU WANGEKUWA NA NIA NZURI NANYI MNGEWAONA KWENYE MAFURIKO KAMA ALIVYOFANYA MHESHIMIWA SHAA AMBAYE SI MBUNGE WA DSM BALI ANA MAPENZI NA WATANZANIA NA SIYO HAO WABUNGE WENU WABAGUZI.

NA NDIYO MAANA HATA KWENYE MAFURIKO WALIUCHUNA KWA
KUWA WAO HAWANA HASARA NA MAISHA YENU HAMJAGUNDUA TU UNAFIKI WA WABUNGE WENU TU?

MTUME MUHAMADI S.A.W. ALIPINGWA SANA NA NDUGUZE MAKURESHI
NA
NABII ISA ALIPINGWA VIKALI SANA NA NDUGUZE WAYAHUDI HATA WAKAMUUA

KWA HILI SISHANGAI KWA DR. JOHN KUPINGWA NA NDUGU ZAKE WANA CCM WAKATI AKITEKELEZA SHERIA ZILEZILE WALIZOZITUNGA WAO WENYEWE CCM NA WAKAMCHAGUA RAIS HUYOHUYO ALIYE MTEUA DR. JOHN POMBE MAGUFULI

SASA HAPO HAWAMPINGI DR. JOHN BALI ALIYEMTEUA AMBAYE NI JK MTOTO WA JIJI HILOHILO ANALOTAMBIA MTEMVU SIJUI YEYE ALIKUWA WAPI ASITEULIWE WAKATI ANALIJUA JIJI!! WAMEANZISHA ZOGO LINALOITIA AIBU NCHI YETU NJE YA NCHI KWA UBINFSI WAO!!

KIGAMBONI UKICHUKUA ENEO LOTE LA TANZANIA UKALIGAWANYA NADHANI ITAKUWA SAWA NA UKUBWA WA KIJIJI NILIKOZALIWA SASA MH.MTEMVU ANA TETEA KIJIJI MPAKA ANAHALALISHA WATANZANIA WENGINE(CHATO, BUSISI,PANGANI, KILOMBERO NA KWINGINEKO) BORA WATESEKE KWA NAULI HIYOHIYO KULIKO ENEO LA KIJIJI ANALOLIONGOZA YEYE INASHANGAZA SANA KUWA NA VIONGOZI KAMA HUYU.
KAKA DR. JOHN POMBE MAGUFULI USIFE MOYO NDUGU YANGU KAMWE USIKUBALI KUJIUZULU NA WALA KUOMBA RADHI KWA KIPI ULICHOWAKOSEA WANAFIKI HAO? KANYAGA TWENDE WATARUDI KWENYE MSTARI WENYEWE WATAKAPOSHINDWA KUPIGA MBIZI. USIJIBU KITU ANZA ISSUE NYINGINE NA USIDEAL NA MINOR ISSUES KAMA ZA HAO WASIOTAKA KUAMBIWA UKWELI BALI UNAFIKI TU. MUNGU YUKO PAMOJA NAWE

Sasa kama Mwenyezi Mungu yupo pamoja na Magufuli, je WTZ hawapo pamoja na M. Mungu?
 
Kweli Wtz kwa namna hii tutaendelea kuwa masikini siku zote.Sasa Magufuli ajiuzuru amekosa nini?kuongeza tshs 100/= Uache kuwaambia mafisadi papa majiuzuru unataka ajiuzuru mtu anayetekeleza majukumu yake.na akishindwa kutimiza muanze kumcheka?kweli aibu kubwa

Naona sasa Wabunge wote wameshaanza kuelezea ukweli kuhusu jambo hili la kuongezeka kwa nauli. Ukweli unaanza kuja. Mpango maalum wa Serikali kuanza kuhamisha watu maskini Kigamboni umeshajulikana.

Magufuli bora Ujiuzulu kabla ya kashfa yako kusambaa nchi nzima.
 
Watu wanapotosha kwa kusingizia imeongezeka sh mia. Wanasahau kuwa Maguta, baiskeli, magari ya bidhaa na usafiri mwingine nauli ya kuvuka imepanda zaidi ya shilingi 1,000/-.
Lakini watu wanafkiri imeongezeka sh 100 tu.
Fanyeni utafiti kwanza ndo mumtetee Magufuli.
 
Back
Top Bottom