Elections 2010 Magufuli CHATO na BULANDES Karagwe Chali!!!

Status
Not open for further replies.
Sure wanaharakati. Tusilishane chakula kibichi hapa. Please, leta 'threads' za uhakika na siyo za kuchokoza taarifa kutoka kwa watu wengine. JF ina sifa yake na inabidi tujitahidi kuidumisha!!!!
 
Kwa Magufuli nasema no mpaka nipate data za NEC ni sawa na kusema Mwakyembe ameanguka
 
Kwa magufuri? Hii hadi nijuzwe kwa uhakika ndi niamue kuimba au la. Tunaomba kama kuna data za uzushi wasizilete hapa tusije tukaumia mioyoni ikija tofauti!
 
si rahisi kwa magufuli ila ikiwezekana kuna mkono wa ccm maana hakuwa mwanmtandao wa JK
 
tuwe makini , kuna watu wan Phd za kupewa nadhani pia wapo ma-Engineers wakupewa pia
 
Kwa Mugufuli hapana...Ingawaje ni CCM ila ni mtendaji mzuri..Hututaki kupoteza watu watendaji kama hawa...tunataka kuwatoa wahuni wote...

Ni muhimu sana kulinda heshima ya forum, unapotia habari ambazo ni taaabu kuaminiwa ni vyema basi kukuwa na data za kui support. Okey Magufuli out, please anyone share the data... I mean reliable ones!
 
Jamani, chondechonde, tusiwe kama waandishi wa habari wetu wanaoandika habari za uzushi kuhusu vyama pinzani, ambayo ilishasababisha mimi kutoamini habari za magazetini! Sasa msisababishe nipoteze imani na jamii hii! We dont just pass-time, we must spend time wisely. Unapoleta mada hapa tunaomba ziwe zimefanyiwa uchunguzi wa kina, kama hujui basi ueleze jamii kuwa huo ni uvumi tu na siyo kuleta mizaha!
Mzee Magufuli kuangukia pua is not impossible but is dame difficult!
 
Uzushi huu unachosha mno.

Tujaribu kuwa serious kidogo fella!

Nakuunga mkono Invincible, watu wengi humu wanatoa tu matokeo kwa "Kusikia" lakini bila data. Isije wakaja shangaa mwishoni! Wakubwa tujaribu kuwa serious, ni vizuri kama matokeo yanaletwa kwa data kamili sio tu kwa kusikia. You may be hoping against hope.
 
.......... WE NEED AUTHENTIC PEOPLE SIO VUVUZELA

Ni kweli. Inakera sana .
Na mtu aliyeianzisha anaonekana ni Engineer (msomi kama kweli ni engineer), halafu analeta vitu vyenye mwono wa kishabiki!
Lete facts mkuu kama unazo, kama huna subiri walio nazo walete!
 
nachukia mijitu inayeanzhisha thread ikiwa hainA SUBSTANCE... TITLE YAKO NA CONTENT HAVIENDANI... I HATE THIS ONE

WE NEED AUTHENTIC PEOPLE SIO VUVUZELA


Mkuu kuna watu wanadhani kupost thread sijui ndo nini ilhali hakuna substance kabisa...ametumislead sana huu wakati muhimu sana huu...mbaya zaidi kwa Magufuli hiloni ngumu
 
nachukia mijitu inayeanzhisha thread ikiwa hainA SUBSTANCE... TITLE YAKO NA CONTENT HAVIENDANI... I HATE THIS ONE

WE NEED AUTHENTIC PEOPLE SIO VUVUZELA

Mkuu watu wa hivi wanpoteza muda wetu!!!
 
Hata mimi nitashangaa kama Magufuli amelalia ngozi ya matobo. Hebu leteni data za ukweli jamani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom