Magufuli & CCM angalieni hapa, kisha mjilinganishe!

wakuu tusibeze kuwa hichi kitu hakipo Ethiopia kipo. Jaribu kuchekia kupitia google map utaoina.

Lakini usiishie hapo kuna street zimepewa majina ya nchi including Tanzania hebu pitia kwa karibu sana
mtaa wa Tanzania (Tanzania st.) then pitia mtaa wa S.Africa, Sychelles, na Roosevelt. Ukipata jibu na wenzetu
wanatufukiriaje. Sijawahi fika Ethiopia lakini kupitia google unaweza ukafika na ukaona.

Nawakilisha
 
bro, hii siyo ulaya, ni africa hapahapa, ni ETHIOPIA nchi ambayo haiko mbali sana na bongo, walikuwa kwenye vita miaka kibao, lakini wanafanya haya, wako serious...ndo maana kagame alisema kama angekuwa rais wa tz angaifanya tz ulaya....wenzetu wangekuwa hapa wangekuwaje sasa....hii ni ethiopia, pale addis ababa...

Acha urongo bana... hizo flyovers mbili za mwisho sio Ethiopia...
 
Acha urongo bana... hizo flyovers mbili za mwisho sio Ethiopia...
hizo flyover mbili sio ethiopia? kwa taarifa yako, hizo mbili za mwisho ndio ziko karibia kuanza kujengwa, izo za kwanza zingine ndo tayari zimeanza kujenga...sasa swali kwako...kwa hapa tz, miradi gani kama hiyo imeanza kujengwa physically baada ya kujengwa kwenye makaratasi?...sisi yetu mengi ni kwenye makaratasi, wenzetu hata ukiona ipo kwenye makaratasi hayawezi kuishia kwenye makabrasha, wanakuja kutimiza, ndio maana wameanza kujenga tayari....hata iyo train ya umeme, wanaweza, kwasababu wanajenga bwawa la kufua umeme wa megawatts zaidi ya elfu tano...watakuwa na umeme mwingi ajabu.
 
Hivi vitu vinafanyika na nchi ya Ethiopia, vyote hivi viko under construction, sio proposed kama vilivyopo hapa Tanzania.

Bwawa la kwanza litakuwa na megawatts zaidi ya 5,000, lingine ni megawats zaidi ya 1,800, alafu angalia barabara flyovers hizo,....

Hizo nimechukua chache tu, bado barabara kubwa za hela nyingi wanaunganisha na Kenya, na reli mpya inaunganisha na Kenya.

Pia wanachimba gas na kufaidia nayooo..... East Africa na Horn of Africa yote watz peke yetu ndo tunasuasua na kuwa nyuma, wengine wote wanapambana na backwardness kufa mtu.

...tuone aibu, na viongozi wetu waone aibu!

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Mkuu, is this real Ethiopia? Basi tumebaki nyuma na Magamba yetu haya
 
Mkuu Hute, hata kwetu si haba. Juzi Magufuli katuhabarisha kuwa km 11,000 ziko chini ya makandarasi wa kichina na waTZ. Hatujui tu zitakuwa za kiwango gani.
 
Huyo wa kuona aibu ni nani? Kikwete? Sidhani, maana kuna wakati huwa hata sijui kama kweli ana ufahamu juu ya nini kinachoendelea duniani.
 
hizo za Ethiopia ni pesa za Al-shabab. usikurupuke fanya uchunguzi. hela zimetoka wapi
yaani ethiopia wapigane na al shabab halafu tena al shababu wawape ethiopia pesa? hata akili ya mtoto mdogo anaynyonya hawezi fikiri kama wewe. umesahau kuwa adui mkubwa wa al shababu ni ethiiopia? na ndio walisababisha hata somalia kusambaratishwa kuwa failed state kiasi hiki kwa kutumiwa na wa magaribi?
 
Kikwete hawezi kuona aibu,maana hata yeye anajijua kuwa uwezo wa urais hana ila alikurupuka tu,ndiyo sababu taifa lipo ktk vita kali ya kiuchumi sasa hizo flyover itawezekana kweli.bora ajiudhuru ili kulinda heshima,bila hivyo tuamfikisha UHOLANZI.
 
Mkuu unachukua reference za Skyscrapercity? Hizo ni architectural design lakini miradi yenyewe bado.

Mie naishi Addis, kuna flyover kibao na mji una 'RING ROAD' highway inayouuzunguka mji mzima, lakini sio picha hizo ulizotuwekea.

Sidhani kama Ethiopia ni ya kutolea mfano; labda ungetueleza sababu ya raia wake wengi kuishi ukimbiziniB?
baelezee kungekua na neema kiasi icho watu wanavyo fikiria kilasiku wangekua wanakamatwa kwenye maboda yetu wakitafuta njia ya kukimbilia Europe ?nisha kua addis watu wananjaa balaaaaah hapa kwetu unaweza kwenda kwandugu ukala but sio addis Mtu hawezi kukupa hata kikombe cha chai
 
kumlaumu magufuli si sawa, tukumbuke na nchi yetu jinsi ilivyo ukijifanya wataka sana maendeleo unazimwa kama mshumaa.
wangapi hatunao tena sababu ya kutetea maslah ya wananchi? lazima utapelekwa sehemu ambayo uko hauwezi fanya lolote, mfano samwel sitta leo yuko ?
wangapi wameamishwa vitengo kwa sababu tu anabania maslahi ya watu fulani ? na ukionekana tu ni mtendaji mzuri wanakuzima kama mshumaa.
 
Nadhani jamaa ameweka hizo barabara sababu ndio umekuwa wimbo wa ccm, mara kilometa 11 elfu zinajengwa kutoka mwembe chai mpaka faya kwa kiwango cha lami, mara makandarasi wanne wameanza kazi kutengeneza kilometa 15 elfu kutoka ubungo mataa mpaka river side kwa kiwango cha rami katika mradi wa tunaweza. barabara zenyewe baada ya miaka miwili tunaziona ziko juu ya mawe, hopeless kabisa, kwa swala la njaa sisi ndio tunanjaa zaidi ya hao waethiopia sema hatuna nauli za kutuwezesha kutoroka nchini.
 
kumlaumu magufuli si sawa, tukumbuke na nchi yetu jinsi ilivyo ukijifanya wataka sana maendeleo unazimwa kama mshumaa.
wangapi hatunao tena sababu ya kutetea maslah ya wananchi? lazima utapelekwa sehemu ambayo uko hauwezi fanya lolote, mfano samwel sitta leo yuko ?
wangapi wameamishwa vitengo kwa sababu tu anabania maslahi ya watu fulani ? na ukionekana tu ni mtendaji mzuri wanakuzima kama mshumaa.
Tabia hii imezaliwa na mfumo mbovu wa utawala wa ccm, wameikuza na sasa imekomaa ndio maana inatumika kuanzia ikulu iko classified kama the best practice, this is one of the reason why we are getting them out.
 
Viongozi wetu watadai kwamba tunabaki nyuma maana vita vya kagera vilitugharimu sana. Hii ni hasara ya kuwa na serikali yenye maneno mengi bila utekelezaji.
 
Hivi vitu vinafanyika na nchi ya Ethiopia, vyote hivi viko under construction, sio proposed kama vilivyopo hapa Tanzania.

Bwawa la kwanza litakuwa na megawatts zaidi ya 5,000, lingine ni megawats zaidi ya 1,800, alafu angalia barabara flyovers hizo,....

Hizo nimechukua chache tu, bado barabara kubwa za hela nyingi wanaunganisha na Kenya, na reli mpya inaunganisha na Kenya.

Pia wanachimba gas na kufaidia nayooo..... East Africa na Horn of Africa yote watz peke yetu ndo tunasuasua na kuwa nyuma, wengine wote wanapambana na backwardness kufa mtu.

...tuone aibu, na viongozi wetu waone aibu!

attachment.php

Hapa kwetu hatujawahi jenga kitu kama hichi wenyewe. Barabara zenye nafuu kama Ali Hassa Mwinyi Rd zimejengwa kwa usimamizi na kwa ufadhili wa mataifa mengine kama Japan.

Barabara tulizojenga wenyewe ni kama kile kituko cha njia tatu kati ya Mwenge na Morroco. Hivi sasa tuko bize na kituko kingine kati ya Butiama na njia panda ya Cocacola.

Hakuna siku Tanroad itatangaza tenda yenye BOQ ya barabara kama hizo kwenye picha
 
Back
Top Bottom