Magufuli: Bomoa boma yaja nchi nzima

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Kwenye gazeti la leo la Mtanzania tunahabarishwa ya kuwa Waziri wa Miundo Mbinu Mhe. Magufuli ameahidi kuanzisha tena bomoa boma kwenye hifadhi ya barabara kuu kote nchini na ya kuwa siasa zisitumike kuzuia maendeleo ya taifa................
 
Jamani '' I have a dream''! kwamba tungekuwa na watu hawa madarakani.

Rais Dr Slaa, Makamu wa rais Mama Tibaijuka, Waziri Mkuu JP.Magufuli, Waziri wa sheria Mizengo Pinda, Waziri wa fedha Lucas Selelii, Waziri ofisi ya rais anayeshugulikia mafisadi Dr Mwakyembe, Waziri wa uchumi na mipango Hamad Rashid, Spika wa bunge S.Sitta, Naibu spika Mzee Shelukindo. Mwanasheria mkuu Tundu Lisu, Waziri wa Ardhi Halima Mdee, Waziri wa kazi Aloyce Kimaro, Waziri ofisi ya rais utumishi F.Mpendazoe, Waziri akina mama na watoto A.Kilango, Waziri wa Kilimo C.Ole sendeka.

Ni Miaka 5 tu, tungekaribishwa BRICS[Brazil, India, China and S.Africa] The fastest growing economy.
'I have a dream''
 
Watalia wengi ila ningefurahi kama angesema hata nyumba zaserikali zirudi serikali kuu.
 
Baada ya kushughulika na mambo ya maana, hayo si mambo ya kutoa uamuzi na kuwacha wengine watekeleza na asie tekeleza ale fimbo.

Yeye angekaa akafikiri namna ya kueneza barabara nzuri zenye kiwango kila pasipo na barabara.
 
Wala hunipi shida tena, ni wale wale tu akina rukhsa
 
blah blah tu,Dr.Pombe Makufuli atuambie atapunguza vipi gharama za ujenzi wa barabara kwa kilomita moja kwani sasa ishafika 1billion/km wakati kenya uganda na rwanda wako chini
 
Kuhusu hilo la kupunguza bei alishasema ni inflated price wanazolipwa wakandarasi halafu vogogo wanazifuata huko. Akasema atakomesha hilo..
 
Baada ya kushughulika na mambo ya maana, hayo si mambo ya kutoa uamuzi na kuwacha wengine watekeleza na asie tekeleza ale fimbo.

Yeye angekaa akafikiri namna ya kueneza barabara nzuri zenye kiwango kila pasipo na barabara.

Anatekeleza sera ya ccm. Na atafanya kweli lakini atajenga chuki na baadhi ya watu.
 
Jamani '' I have a dream''! kwamba tungekuwa na watu hawa madarakani.

Rais Dr Slaa, Makamu wa rais Mama Tibaijuka, Waziri Mkuu JP.Magufuli, Waziri wa sheria Mizengo Pinda, Waziri wa fedha Lucas Selelii, Waziri ofisi ya rais anayeshugulikia mafisadi Dr Mwakyembe, Waziri wa uchumi na mipango Hamad Rashid, Spika wa bunge S.Sitta, Naibu spika Mzee Shelukindo. Mwanasheria mkuu Tundu Lisu, Waziri wa Ardhi Halima Mdee, Waziri wa kazi Aloyce Kimaro, Waziri ofisi ya rais utumishi F.Mpendazoe, Waziri akina mama na watoto A.Kilango, Waziri wa Kilimo C.Ole sendeka.

Ni Miaka 5 tu, tungekaribishwa BRICS[Brazil, India, China and S.Africa] The fastest growing economy.
'I have a dream''
Wengine umewachanganya humo ni Chui waliovaa ngozi ya kondoo, wanajifanya wasafi wakati wanaogelea kwenye bwawa la tope na kinyesi! Loo pu!
 
ni mtazamo wako ndugu lakini co mchezo kwa upande mwingine sawa kwa upande mwingine sawa
 
Back
Top Bottom