Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,476
- 39,995
- Thread starter
- #81
mkuu mwanakijiji kuna maswali mazuri ya waberoya ambayo majibu yake yatakuwa elimu tosha na pengine mjadala kutoa changamoto zaidi.
ukiangalia maswali hayo nimeyajibu tayari vinginevyo itakuwa ni kurudia rudia au kufafanua zaidi. Nilichokisema siyo kigumu hivyo kueleweka.