Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 63,552
- 112,489
Kamanda Evelyne, Pengine Makufuli Aliogopa Swali Kwamba Lowasa Alisema Kipaumbele Cha Kwanza Mpaka Cha Tatu Elimu, Phd Yake Ya Ccm Ambayo Imeshindwa Kumtambua Raisi Wa Iraq! Anaitwa Nani!
Mara aseme kiwanda cha transfoma kitatengeneza bidhaa nzuri za ngozi teh huyu rais huyu duh aliepita ilisemekana alikua na nazi sio kichwa huyu sijui ye ana nini