Elections 2015 Magufuli anatukwepa - BBC Swahili

Hapo sasa. Labda anaogopa kuulizwa kinachomshangaza wanafunzi kukaa chini au kwa nini maofisa wa serikali wanaishi hotelini wao, wake zao, wajukuu na mbwa zao kwa mwaka mzima huku wakilipiwa na Serikali
BBC watakuja kumhoji Siku Atakapokuwa Anaapishwa kuwa rais wa nchi hii. Mwambie Salim kikeke na Zuhura Yunus wasubiri kidogo
 
huyu mtu anaogopa hata lugha ya taifa!. Jee kweli atawezaje kulitumikia taifa ?
Haya polisi kamata magufuli peleka bbc akahojiwe huko....

na hatutaki utani kabisa katika hili, na akamatwe maana hamna namana nyingine kama anabembelezwa ili wananchi tujue atatufanyia nini na hataki! Akamatwe tu
 
Akakamatwe kwa nguvu ahojiwe, si anahojiwa kiswahili sa anaogopa nini...



Kamanda Evelyne, Pengine Makufuli Aliogopa Swali Kwamba Lowasa Alisema Kipaumbele Cha Kwanza Mpaka Cha Tatu Elimu, Phd Yake Ya Ccm Ambayo Imeshindwa Kumtambua Raisi Wa Iraq! Anaitwa Nani!
 
Sasa huyu anayekimbia hata mahojiano ya kiswahili atatuongozaje? HAPANA aisee hatumpi kura zetu...

yeye ni Alinseremaa tu???
 
Ni haki yake kukacha mahojiano na BBC, kiswahili chenyewe hajui huwa anaongea kisukuma kwa kiswahili hata mahojiano kwa kiswahili kwake ingekuwa majanga
 
Kilaza ataongea nini? Anaweza ulizwa rais wa Africa kusini ni nani, akasema mugabe. Sitowaangusha!!! Wakati kila siku anawaangusha!
 
Teh teh teh.....

Labda anaogopa watamchenjia katikati ya mahojiano na kuchomekea Kizungu:wink:.


hivi niliwahi kusikia eti Magufuli alikuwa mwalimu wa shule , inakuwaje hata kiengereza hajui , au akifundisha chekechea ?
 
Kamanda Evelyne, Pengine Makufuli Aliogopa Swali Kwamba Lowasa Alisema Kipaumbele Cha Kwanza Mpaka Cha Tatu Elimu, Phd Yake Ya Ccm Ambayo Imeshindwa Kumtambua Raisi Wa Iraq! Anaitwa Nani!
"here job only"
Hahahaaaa... Kwi kwi kwi
 
ahojiwe asihojiwe MAGUFULI ndiye raisi asiyetaka ahame nchi, kwani lowasa alipohojiwa na BBC alijibu nn cha maana zaidi ya kujikanyagakanyaga tu.
 
Leo kwenye taarifa ya habari ya BBC Swahili saa tatu usiku, imeripotiwa kuwa John Magufuli amekuwa akikwepa kila BBC wanapotaka kumfanyia mahojiano. Matumaini yao ilikuwa iwe jana, finally, cha ajabu, jamaa akasepa dakika za mwisho.

Kwa maswali yale aliyopigwa Lowassa, no wonder Magufuli anakimbia. Huu ni udhaifu pia.

mimi nimeamua kumchagua hivyo hivyo na udhaifu wake
 
Zaidi ya Barabara hakuna kingine anachojua.



Huko BBC ataleta aibu tupu, bora asiende.

Barabara zenyewe hizi ambazo kula kukicha zinapoteza maisha ya Watanzania wenzetu.
 

Attachments

  • 1445660754546.jpg
    1445660754546.jpg
    55.9 KB · Views: 85
  • 1445660905365.jpg
    1445660905365.jpg
    43.7 KB · Views: 86
  • 1445660939748.jpg
    1445660939748.jpg
    88.4 KB · Views: 88
  • 1445660978727.jpg
    1445660978727.jpg
    43.7 KB · Views: 82
  • 1445661035719.jpg
    1445661035719.jpg
    27.8 KB · Views: 83
Back
Top Bottom