kalokolaVIII
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 396
- 183
Likizo ni haki ya mfanyakazi. Waziri Magufuri hapa anaweza kuwa accused kwamba ana run a sweatshop type of operation ambayo ni noma. tena anaweza kuwa ana violate kanuni za mikataba ya kazi ya kimataifa iliyopitishwa na International Labor Organization (ILO)
Halafu kiusalama mtu kufanya kazi bila likizo haifai, kuanzia kiafya mpaka katika job auditing.
Hivi Tanzania hamna vyama vya wafanyakazi? Waziri atasemaje watu wasiende likizo?
Au mmekosea kumpata vizuri?
Likizo ni haki ya mfanyakazi lakini sio Mfanyakazi anayeamua kwenda likizo kipindi gani - mfanyakazi anaomba likizo muajiri anaidhinisha au hapana.