Elections 2010 Magufuli ajiingiza mtego wa magamba Igunga

Hizi habari mkahadithiane vijiweni mwa chama chenu.
Kama akilo yako ni fupi hivyo basi ujue kuwa potentoal ya Dr Kafumu kusonga mbele ni kubwa kuliko jamaa yenu Kashindye.
Common sense pipoooz.
Hapa kwa mtoa sredi kuna reasoning capacity ya chekechea
Hapo kwenye red napatashida kukuelewa, ulikuwa na maana gani???Halafu hongera naona unareasoning ya university.
 
Kama magufuli kafikia hali hí ccm hakuna mwadilifu wala anayefaa kutuongoza tena watanzania
 
Back
Top Bottom