Magufuli achangia Sh10 milioni matibabu ya mwanafunzi

yani does it mean, katka wananchi mil 55 hakuna madaktar wenye utaalamu wa kumfanyia hyo surgery huyo mtoto macho yakapona tena under government support na sio kwa hayo mamisaada jaman? haka kanchi kaajabu kwa kweli.
 
Sijui washauri wa rais wanafanya kazi gani!!!?? Kaaazi kwelikweli!!
Rais kafanya jambo jema sana. Kutoa ni moyo na inategemea mambo mengi ikiwapo kuguswa moyoni na mhusika. Hata Yesu hakuponya wagonjwa wote waliokuwepo wakati ule na hakufufua wafu wote. Mwacheni Rais wetu afanye mambo ya kijamii kwa uhuru
 
Back
Top Bottom