Magufuli achafua hali ya hewa dodoma.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Waziri wa ujenzi Dkt pombe Magufuli akiwa katika ziara zake,Juzi alipita Eneo lijulikanalo kwa jina Bahi-Road...na kuwatahadhirisha wafanya biashara waliojenga ndani ya hifadhi ya barabara Watoke wenyewe ndani ya siku kadhaa,na watafute pa kwenda mara moja, wakiongea kwa Masikitiko pasipokujua la kufanya wakahoji..mbona upande wa pili hauguswi akajibu hao sina shida Nao ndipo wafanya biashara hao kuhisi kuna harufu rushwa...kwani upande huo hausumbuliwi kwakuwa Unawafanya biashara Wakubwa.
Source.kutoka eneo la tukio
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom