Magufuli aanza kazi J2 kwa vitisho......Kweli aanza vibaya......

Ni kweli kazi nzuri aliyofanya ni kuuziana nyumba za serikali kwa bei ya peremende. Vizuri tuendelee kusifiana tuu, uku hatujui jambo hata moja zuri alilofanya. Nadhani hata jibu huna, ebu tuambie kazi moja tuu nzuri aliyofanya Magufuli? Au kukariri majina ya barabara?

...Tusichanganye issue. Uamuzi wa kuuza nyumba haukuwa wake. Yeye alikuwa mtekelezaji tu.

...Kazi alizofanya zinafahamika.......simply, they sell themselves, hamna haja hata ya kuziongelea.
 
taarifa ya habari ya saa moja jioni ya leo ya tbc1, waziri wa miundo mbinu dr. Magufuli amesambaza ilani ya uchaguzi za ccm kwa watendaji wizarani kwake katika hali inayoonyesha anachapa siasa zaidi na kuwataka watendaji wote kwenye wizara yake kuisoma, kuielewa na kuifuata..................au vinginevyo waache kazi au wataondolewa.....................

Vile vile amesimamisha zoezi la ajira mpya tanroads katika hali inayoonyesha mwingiliano kati ya bodi ya wakurugenzi na wizara mama.............kiutaratibu wizara mama haipaswi kujiingiza katika shughuli za kiutendaji za tanroads..........hayo ni majukumu ya bodi na menejimenti.......

La kusikitisha zaidi ni sababu alizozitumia katika kuhalalisha uongozi wa wizara kuingilia zoezi la ajira mpya za wahandisi wa mikoa wa tanroads............alidai wao wanataka barabara zijengwe tu..........kama vile waliopo kazi hiyo huifanya kwa ufanisi wakati sivyo hata kidogo..................

magufuli anashindwa kuelewa ya kuwa ni sera ya tanroads ili kuimarisha ufanisi ajira ni za mikataba na kama watendaji wataelewa ajira ni za kudumu hawatakuwa na motisha wa kuongeza ufanisi...............................pia tanroads ina kashfa nyingi za matengenezo bomu ya barabara ikilinganishwa na fedha ambazo serikali hutumiwa kwenye shughuli hizo zikiongeza kasi ya umuhimu wa kuubadilisha uongozi mzima wa tanroads....................

mbaya zaidi, zoezi la mabadiliko ya uongozi ndani ya tanroads yamekuwa yakipingwa na wabunge hususani bunge la 9 kwa sababu hizohizo za kujenga barabara wakati barabara nyingi ni bomu................hii yaashiria regional engineers na watendaji ndani ya tanroads wana sauti kubwa kuliko hata bodi yao ya wakurugenzi katika kuchelewesha mabadiliko ya uongozi ndani ya tanroads kwa masilahi yao binafsi tu......kwa mwelekeo huu usitegemee jipya kutoka kwa magufuli........aonekana ni mchovu sana kifikra na sasa ategemea jina kuisukuma wizara hii atakako..........

wizara ya ujenzi ulitaka upewe wewe?:angry::angry:
 
Magufuli chapa kazi na ikibidi chapa viboko hawa mafisadi na vibaka wao hata hapa kwenye hili jamvi wanaofikiri Tanzania ni shamba la bibi.
 
Hapa kuna harufu ya mafisadi au wafanyakazi wa hii sector ya ujenzi kwenye hii topic
Haiwezekani the same topic na maneno yale yale yakarushwa na watu wawili tofauti ( Nyangomboli na Wacha).
Nadhani wanataka kupotosha umma kwenye hili jambo.
Kila mtu anajua Magufuli mchapakazi hilo mpaka vijijini wanajua na hakuna mtu anaweza kubishana na ukweli na hii tutaona kwa vitendo.
Ukiangalia hata jinsi tanroads walivyotangaza hizo nafasi siku ya ijumaa utaona kuna kitu kilitaka kufanyika lakini Magufuli kashtuka mapema
 
Mtu akimsema magufuli anaitwa mfisadi, kwa iyo yupi anafaa kushtumiwa? Lowassa peke yake? Huyu Magufuli hana lolote zaidi ya Mrema. Yeye na Mrema lao moja
 
Hapa kuna harufu ya mafisadi au wafanyakazi wa hii sector ya ujenzi kwenye hii topic
Haiwezekani the same topic na maneno yale yale yakarushwa na watu wawili tofauti ( Nyangomboli na Wacha).
Nadhani wanataka kupotosha umma kwenye hili jambo.
Kila mtu anajua Magufuli mchapakazi hilo mpaka vijijini wanajua na hakuna mtu anaweza kubishana na ukweli na hii tutaona kwa vitendo.
Ukiangalia hata jinsi tanroads walivyotangaza hizo nafasi siku ya ijumaa utaona kuna kitu kilitaka kufanyika lakini Magufuli kashtuka mapema

Red alert! - can you explain to me, how or why I would like to mislead the public?
 
Nakupa tano Mkuu Mwanza, hapa kuna harufu ya ufisadi, Mrema wa Tanroads alishatimuliwa na anatakiwa kukabidhi ofisi kesho kutwa awe hayupo sasa fikiria ameshaondolewa bado yeye ndiye anatangaza kuwatoa wenzake tena baada ya kuzuiwa na bodi. Mrema amechakachua hata sifa za waombaji ili awaondoe wahandisi na kuweka quantity surveyors wenzake. Mrema hastahili hata kidogo amepandisha bei ya barabara kwa kilometa apate cha juu sasa ndio wanakasirika Magufuli kuingilia wakijiona Wamenunua hadi bodi na wakisingizia Ikulu imewapa go ahead na sasa JK kawatosa. Walimuonea Kawambwa sasa wamepata kiboko yao wanalia
 
Red alert! - can you explain to me, how or why I would like to mislead the public?

Wacha Mrema atatangazaje nafasi wakati na yeye nafasi yake imetangazwa? Alijua ataendelea kutisha watu kwamba anakula na JK na mtoto wake Riz 1? Anataka aendelee kuwadanganya kwamba akienda nje anamuwekea JK fedha? Unadhani JK akimchekea anapenda sana anavyomchafua? Hata kama kweli anawagawia kidogo, why atangaze kwamba anaisaidia familia ya Rais? Hajui Rais ndiye mwenye funguo ya cheo chake? Mrema ajiandae tu kwenda jela soon hata kama wewe Mwanza ndiye Mrema
 
Unawajua TANROADS kwa rushwa? mbona umetoa judgement haraka sana, magufuli at least tumpe muda ni mchapakazi, i said atleast, sasa
mm ni CDM, TANROADS is the worst acha awapige full stop kuajiri, ndio maana nasema unawajua vizuri TANROADS? nikutahadharishe tu RUSHWA kubwa sana duniani kote ipo TANROADS
alaaa, kumbe
 
Chuki ndio nahisi zimekujaa.
Majungu na fitna ndio kilichomo ndani ya moyo wako, kwani kimtokacho mtu ndicho kilichoujaa moyo wake.
taarifa ya habari ya saa moja jioni ya leo ya tbc1, waziri wa miundo mbinu dr. Magufuli amesambaza ilani ya uchaguzi za ccm kwa watendaji wizarani kwake katika hali inayoonyesha anachapa siasa zaidi na kuwataka watendaji wote kwenye wizara yake kuisoma, kuielewa na kuifuata..................au vinginevyo waache kazi au wataondolewa.....................

Vile vile amesimamisha zoezi la ajira mpya tanroads katika hali inayoonyesha mwingiliano kati ya bodi ya wakurugenzi na wizara mama.............kiutaratibu wizara mama haipaswi kujiingiza katika shughuli za kiutendaji za tanroads..........hayo ni majukumu ya bodi na menejimenti.......

La kusikitisha zaidi ni sababu alizozitumia katika kuhalalisha uongozi wa wizara kuingilia zoezi la ajira mpya za wahandisi wa mikoa wa tanroads............alidai wao wanataka barabara zijengwe tu..........kama vile waliopo kazi hiyo huifanya kwa ufanisi wakati sivyo hata kidogo..................

magufuli anashindwa kuelewa ya kuwa ni sera ya tanroads ili kuimarisha ufanisi ajira ni za mikataba na kama watendaji wataelewa ajira ni za kudumu hawatakuwa na motisha wa kuongeza ufanisi...............................pia tanroads ina kashfa nyingi za matengenezo bomu ya barabara ikilinganishwa na fedha ambazo serikali hutumiwa kwenye shughuli hizo zikiongeza kasi ya umuhimu wa kuubadilisha uongozi mzima wa tanroads....................

mbaya zaidi, zoezi la mabadiliko ya uongozi ndani ya tanroads yamekuwa yakipingwa na wabunge hususani bunge la 9 kwa sababu hizohizo za kujenga barabara wakati barabara nyingi ni bomu................hii yaashiria regional engineers na watendaji ndani ya tanroads wana sauti kubwa kuliko hata bodi yao ya wakurugenzi katika kuchelewesha mabadiliko ya uongozi ndani ya tanroads kwa masilahi yao binafsi tu......kwa mwelekeo huu usitegemee jipya kutoka kwa magufuli........aonekana ni mchovu sana kifikra na sasa ategemea jina kuisukuma wizara hii atakako..........
 
Unajua wanaomchukia Magufuli ni Kati ya hao watakaoathirika na kurudi kwake. Maana Tanroad wameongeza gharama ya Km 1 ya lami kutoka mil. 300 hadi 1 Bilioni kwa ajili ya kugawana. Sasa wasubiri kiama chao
 
Unawajua TANROADS kwa rushwa? mbona umetoa judgement haraka sana, magufuli at least tumpe muda ni mchapakazi, i said atleast, sasa
mm ni CDM, TANROADS is the worst acha awapige full stop kuajiri, ndio maana nasema unawajua vizuri TANROADS? nikutahadharishe tu RUSHWA kubwa sana duniani kote ipo sekta ya ujenzi, barabara, reli, bandari, airports, magorofa nk ( INFRASTRUCTURE)

Mkuu, huyu bana asishughulishe watu, ukiangalia maelezo yake yanajichanganya-seems yeye yuko Tanroads so anajua kitakachamtokea, waTz wamechoshwa na hawa Tanroads, Tanesco, Dawasco, Ewura,an the like-Magufuli timua bana ufanye mambo apo-hakuna cha bodi , menejimenti wala difu, wakileta uozo tupilia mbali alimradi kodi zinazolipwa barababarani zirudi barabarani si vinginenyo.
 
Kazi ya kupunguza ajali si ya Magufuli..Naona umekurupuka tu toka usingizini na kuandika comment hapa.Kaa chini fikiria kabla ya kuandika.

Halafu hoja yako kuhusu ajali zinasababishwa na Ubovu wa Barabara au uzembe wa Madereva iandikie thread tofauti ili wadau wachangie na usiiweke kwenye Siasa

Jaribu kumuelewa kwa kina kabla nawe hujacomment! Shortly anachosema bana kagalala, barabara zijengwe ktk viwango na namna inayotakiwa, kila siku wenye magari wanatengeneza "tyre-roadhands" kumbe ni mabarabara ndo mabovu, angalia hiyo ya Kilwa, angalia ya Mandela kama uko Dar, sasa jiulize kama Dar hali iko hivyo, Mikoani hali itakuwaje? hakuna viwango ili hao Tanroads wachukue cha juu, upana wa barabara unatofautiana (concave-convex style) umeona wapi? Huyu bana Hypothesis yake "Ubovu wa barabara (also) proportional na ajali zisizo na mpango" So Magufuli apunguze ajali kwa kuhakikisha barabara zinajengwa ipasavyo na itakiwavyo.
 
Huyu jamaa alikuwa ameomba hizo kazi nini? Pamoja na matatizo ya Dr. Magufuli kuhusiana na swala la nyumba za serikali ,Tungepata miwaziri mitatu tu kama huyu jamaa, moja la Elimu na Jingine la Kilimo basi tungesogea
 
Napendekeza

Mhe. Dr. John Pombe Magufuli apewe ulinzi madhubuti. Please JK if you real need him. Yes I DO!
 
Back
Top Bottom