Picha: Magufuli akigonga kikombe ndani ya Loliondo

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
268
Magufuli akigonga kikombe cha babu huku mapaparazi wakimchukua picha!


dkmagupombe.jpg
 
Mzee una uhakika ni magufuli huyu? au umeangalia kipara tu? wacha anywe na ningependa kikwete anywe pia labda he will come to his mind
 
hahaaaaaa!!!wewe inawezekana humfaham live magufuli man!!!
Mzee una uhakika ni magufuli huyu? au umeangalia kipara tu? wacha anywe na ningependa kikwete anywe pia labda he will come to his mind
 
Pata kikombe mwana!!!

:noidea: nani kati ya wanasiasa hatakwenda Samunge
 

Endeleeni kubeza vya Watanzania wakati wenyewe wanapona. Haiingii akilini kuona watu wengi wanakunywa vidonge kutoka ulimwengu wa kwanza na hata kama havifanyi kazi wanaviamini, lakini kwa sababu hii dawa kipimo chake ni kikombe watu wanabeza kweli kusoma sio upeo wa kujua mambo. Haya nyie mnaobeza hebu twambieni mkifa huwa mnakuwa wapi? Kunywa dawa Magufuli upone na wote wanaobeza watakiona cha mtema kuni watapata kisukari tena tusisikie wakikimbilia kwa Babu waende marekani kupata vidonge vya kuwaongezea pressure.​

Kwa kweli huyu mzee amepunguza safari nyingi za viongozi wetu nje ya nchi walikokuwa wanakwenda kutibiwa bila kupona na kufuja fedha za walipa kodi, lakini hapa kwa Babu hata Wakenya nao wanakuja ingawa wanaona gere. Go Bau go babu go.​
 
wengine wanaomba kugonga viwili ila babu anawagomea!bora angefanya vikombe viwili 1000 ila bado watu wangetaka kugonga vikombe 10
dah babu ni mtakuja primary school! Yan babu kama maji vile,usipooga utakunywa au ata kunawa pia kufuria pengine ata kunyeshewa na mvua!
 
baada ya kugonga kikombe, akajikuta akiahidi 1bil kwa ajili ya barabara.
Hata kama dawa haiponyi, Sumange wamepata maendeleo.
.
 
wanaobeza nawabeze mwisho wa cku samunge lazima watie maguu kama awataki wafe na magonjwa yao ww unajua ni mabilioni mangapi yanafujwa na vigogo kwa matibabu nje ya nchi? Na leo hii wanatibiwa kwa 500
 
Inawezekana akawa ndo mwenyewe maana yeye ndiye mwenye mtindo wa kuvaa suti over size
 
Back
Top Bottom