Magomeni Mikumi, Wanaagalia Soccer Bwawa la Maini

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
250210_10151200484596639_2140941072_n.jpg
 
Wale wa nyuma wanaangalia mpira au wanasikiliza matangazo ya mpira khaa!
 
Hamna..anafanana na mtoto wa slaa alizaliwa hivi majuzi na "mkewe" huyu wa sasa

Mkuu, huo unaofanya kama siyo upuuzi basi ni ujinga. Huyo mtoto mdogo ambaye hajaanza hata kuongea unamwingiza kwenye mambo yasiyomhusu ili iweje? Huo ni unyanyasaji wa watoto.
Huyo Mwigulu aliyesemwa hapo juu ni mtu mzima, na ni member hapa anaweza kuja kujitetea mwenyewe, lakini huyo mtoto unayemsema wewe siyo member na wala hawezi kujitetea mwenyewe. Haiingii akilini kwa mtu mzima kuanza kumkandia 'innocent child' kwa mambo ambayo hana hata uwezo wa kuyaelewa. Ni afdhali ungewasema wazazi wake maana ni watu wazima na ni member hapa wanaweza kujisemea wenyewe, lakini mtoto mchanga ni kumwonea.
Nakilaani hicho kitendo ulichofanya kwa nguvu zote. Mungu ambaye ni mtetezi wa wanyonge, na amlinde huyo mtoto dhidi ya kitendo chako ambacho ni cha uonevu usiokuwa na kiasi. Na Bwana mwenyewe akulipe kulingana na uovu wako.
 
Mweleze mkuu, kuna watu wana visasi na chuki zilizopitiliza!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom