Magic House ya kanumba

We Bi Nyakonba, hadi leo unaangalia muv za mawazo mgando? Director Kanumba, Editor Kanumba, Sound Kanumba, Sterling Kanumba, HADI SHOOTING ANAJIFANYIA mwenyewe. Plz stop it.
 
We Bi Nyakonba, hadi leo unaangalia muv za mawazo mgando? Director Kanumba, Editor Kanumba, Sound Kanumba, Sterling Kanumba, HADI SHOOTING ANAJIFANYIA mwenyewe. Plz stop it.

Sioni ubaya katika hilo ikiwa ujumbe unamfikia mlengwa! Acha kuona wivu! Nijuavyo mimi kinachokufurahisha wewe si lazima kinifurahishe mimi, kadhalika unachokichukia wewe huenda ndo ninachokizimia kinoma!
 
we bi nyakonba, hadi leo unaangalia muv za mawazo mgando? Director kanumba, editor kanumba, sound kanumba, sterling kanumba, hadi shooting anajifanyia mwenyewe. Plz stop it.

ziko wapi za movies zenye mawazo myeyusho? Stop undermining other people' work
 
We Bi Nyakonba, hadi leo unaangalia muv za mawazo mgando? Director Kanumba, Editor Kanumba, Sound Kanumba, Sterling Kanumba, HADI SHOOTING ANAJIFANYIA mwenyewe. Plz stop it.

Tumia past tense please. Kumbuka hatupo nae tena huyu jamaa.
 
tusiwalaumu wapenda film za kanumba-ray.
tv zao huwa feki, deki feki na sub woofer za kichina.
haziwezi ku handle serious movies
 
Back
Top Bottom