Magic FM mnajitahidi kutufungua lakini Kibwana anatuchefua

Acha Uvivu

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
525
131
Kibwana ni gumzo kubwa ktk radio yetu Magic Fm. Mbona anataka kuifanya km Clouds Fm ya Kibonde?
Manesi wamesema hawawezi kufanya kazi na madaktari wa jeshi kwa sababu historia inaonyesha mwaka 2005 hao madaktari walikuwa kwanza wanauliza manesi namna ya kutibu, Kibwana anapinga eti manesi waongo wangesema tangu zamani.
Huyu jamaa vipi? Source: X-ray ya Magic Fm.
 
kuna watu public radio wanafanya vijiwe vya soga,anaongea kama ndugai
 
Huyu Kibwana nimekuwa nikimsikiliza sana anapoitwa Magic Fm. Akijifanya kujua data zake za uongo. Kuna siku alisema Kigwangwala sio daktari sababu tu alizungumzia madai ya madaktari.
Ukweli ukadhihirika kuwa ni daktari, alidanganya umma kupitia Magic Fm. Bila shaka huyu magamba pure.
 
huyu Kibwana ndi nani?

Huyu Kibwana ni yule anayeitwa studio ya Magic kipindi cha X-ray kuanzia saa mbili asubuhi. Magic Fm wana vipindi vizuri sana mida hiyo.
Ajabu huyu Kibwana anaharibu kabisa. Jaribu kufuatilia Magic Fm kila siku za wiki asubuhi, utamsikia.
 
kuna watu public radio wanafanya vijiwe vya soga,anaongea kama ndugai

mkuu hii avatar ulikuwa unashangilia baada ya kupiga au ulikuwa unasubiri kupiga kitu kilichokusumbua siku nyingi!!!!maana naona uko chumbani !
 
yawezekana akaanza kuharibu ila bado jamaa ni icon wa news. Inategemea pia fikra zako zinapenda kusikia nini.
 
kibonde lazima aropoke kutokana na ulajia alioupata tbc so anaogopa yasije yakampata ya tido,ila maadili ya taaluma hii ya habari yameingiliwa na siasa
 
Back
Top Bottom