Magufuli aunguruma BRELA!

Sasa kama BRELA iko chini ya Viwanda na Biashara, waziri wa Uvuvi alienda kukagua BRELA kwa msingi gani?

"Katika kupita huku na kule nikamuona Maghufuli akiwa na maafisa wa BRELA akistaajabu mafaili kuhifadhiwa hadi miguuni kwa maofisa wa Brela"

Hivi hapa wamesema alienda kukaguaa??
 
Hivi hapa wamesema alienda kukaguaa??

Alikuwa "anahoji" na akapewa "visingizio." Sasa kama alienda kwa biashara binafsi, kwa nini ahoji na kukagua!

``...akistaajabu mafaili kuhifadhiwa hadi miguuni kwa maofisa wa Brela. Baadaye nikapata taarifa kuwa walimpa kisingizio kuwa hawana jengo... Nampongeza angalau kwa kuhoji ile hali kwani... ``
 
Dah jamani,

Ni taabu kweli kweli . Mwenyewe nilivyoenda kutafuta faili nilistajabika. Kitengo kama Brela kuhifadhi hizi details kwenye hifadhidata ambayo tungeweza kuitumia toka kwenye tovuti yao hawana. Sijui tutaanza wapi. Ila tutafika -swali tutafika lini?
 
JK angempa Naibu Waziri Mkuu/waziri wa kitoeo.....ili awe mbogo kwa kila mzembe.....serikalini.
 
Sasa kama BRELA iko chini ya Viwanda na Biashara, waziri wa Uvuvi alienda kukagua BRELA kwa msingi gani?
BRELA ni ofisi ya umma na ni hifadhi kuu ya taarifa za makampuni so ni sehemu ambayo watu binafsi na watu wa serikalini huenda kufanya due diligence (ukaguzi) wa makampuni kabla hawajaangia mikataba au kufahamu habari zozote za makampuni. So Maghufuli hakwenda kukagua huko. Ni haramu kiongozi wa serikali kwenda sehemu na kukuta uozo na kufumbia macho eti kwa kisingizio kuwa ahusiki. Ndio maana mfuko wa Bima ya afya NHIF umeamua kuwaingiza madiwani ili waweze nao kujionea namna gani wateja wanahudumiwa na kero wanazozipata! Tuwa-encourage viongozi kujenga utamaduni wa kwenda kupata huduma wenyewe sehemu mbali mbali badala ya wao kubaki maofisini na kutuma madereva!!
 
Great Conquerer hujatuhabarisha Mzee mzima John Pombe alikuwa anatafuta nini huko Brela? au naye kawa mjasiriamali?
 
JK angempa Naibu Waziri Mkuu/waziri wa kitoeo.....ili awe mbogo kwa kila mzembe.....serikalini.
Be careful of what you ask for!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! si unafahamu ile story ya genie aliyetoka kwenye chupa?
 
Alikuwa "anahoji" na akapewa "visingizio." Sasa kama alienda kwa biashara binafsi, kwa nini ahoji na kukagua!

Yaani mkuu wangu unataka viongozi wakienda mahali wakikuta hali ni hovyo wasiseme kitu? kwa sababu tu siyo wa wizara husika!!??
 
Yaani mkuu wangu unataka viongozi wakienda mahali wakikuta hali ni hovyo wasiseme kitu? kwa sababu tu siyo wa wizara husika!!??

Kuna kitu kinaitwa mgawanyo wa majukumu. Magufuli has a lot on his own plate. Samaki wanapigwa mabomu na wavuvi, wanaisha, mifugo the country is starving kwa kukosa vitoweo, kuna vita vya mifugo Tarime huko vinaendelea. Aende aka focus huko kutafuta solution, sio kwenda kuhoji watu BRELA.

Waziri wa Uvuvi utaendaje kukagua wahifadhi mafaili BRELA?
 
Bhagosha,

Nacho mfurahia huyu Mh.JP. Magufuli ni utendaji wake wa kazi anafuata kanuni za utendaji na ni sooo creative sana, huyo akipewa wizara ya mambo ya ndani nchi itanyooka sana, na kama alivyosema mwana JF hapo juu Mamah kuwa jamaaa ana 50% ya utendaji wa kazi yake kuliko wabunge na mawazri wa CCM, maaana wengine huko ni bendela fuata upepo na bora liende amo tukushikagha na nale hiiii wajameni.

Well Done Mr. Mbunge JP Magufuli
 
Kuna kitu kinaitwa mgawanyo wa majukumu. Magufuli has a lot on his own plate. Samaki wanapigwa mabomu na wavuvi, wanaisha, mifugo the country is starving kwa kukosa vitoweo, kuna vita vya mifugo Tarime huko vinaendelea. Aende aka focus huko kutafuta solution, sio kwenda kuhoji watu BRELA.

Waziri wa Uvuvi utaendaje kukagua wahifadhi mafaili BRELA?
Ukikumbuka mgawanyo wa kazi usisahau na COLLECTIVE RESPONSIBILITY after all hakwenda kule basically kukagua watunza mafaili. Tatizo siku hizi kumezuka watu ambao kila zuri hulitafutia kasoro. Sijui wanaogopa vivuli vyao au ndio kampeni za 2015. Na hii ni laana/mbinu ya wanamtandao!! Wao mafanikio kwao ni kuchafua watu wanaodhani wana nguvu zaidi yao. Na hii mbinu ndio imebaki ngao yao toka 2005 hadi leo hawajui kuwa watanzania si mabwege tena (times have changed gentlemen).

Kwa kifupi achilia mbali hili la BRELA, Maghufuli is by far (very far) the most hardworking minister in Mkapa's and Kikwete's cabinets put together. No one comes closer!!

Sasa umefika wakati watu wengine tuwe tunawalazimisha kuchukua fomu za urais kwani vinginevyo tutaendeleakuchaguliwa viongozi na walafi wachache.
 
Magufuli for presidency 2010

Kulikuwa na thread moja humu ambayo ilikuwa inaorodhesha preference ya wanaJF kuhusu mtu anaeweza kuchukua nafasi ya Jakaya; Magufuli was ranking very high on that list for the days the thread was allowed to feature but in no time for no apparent reason that thread was removed!! Mkiambiwa some of the MODS are CCM moles mnabisha!!
 
Kwa kifupi achilia mbali hili la BRELA, Maghufuli is by far (very far) the most hardworking minister in Mkapa's and Kikwete's cabinets put together. No one comes closer!!

Waziri mwenye muda wa kuzunguka BRELA na TRA kusajili mradi wake wa guest house hawezi kuwa ``by far most hardworking minister. `` Mtu mchapa kazi muadilifu mwenye majukumu mazito angesubiri amalize uwaziri ndio aanze ku run guest house.

Magufuli ni waziri, ni mbunge, ana mishahara kibao, I'm sure hakosi kwenye one of them sekretarieti za kamati kuu, anakula maposho ya mikutano kushoto na kulia.

Na bado una run ki guest house Biharamulo, cha nini? Huyo ndio ``the most hardworking``?

I..huyu jamaa ana guest house yake huko Biharamulo...
 
Kuna kitu kinaitwa mgawanyo wa majukumu. Magufuli has a lot on his own plate. Samaki wanapigwa mabomu na wavuvi, wanaisha, mifugo the country is starving kwa kukosa vitoweo, kuna vita vya mifugo Tarime huko vinaendelea. Aende aka focus huko kutafuta solution, sio kwenda kuhoji watu BRELA.

Waziri wa Uvuvi utaendaje kukagua wahifadhi mafaili BRELA?

kamuulize bosi wako masha kwa nini hivyo vita haviishi
polisi wanafanya nini na watu ambao magufuli amewakamata so far yeye amehakikisha wanachukuliwa hatua
 
Pale brela iko maneno..kila kitu ni usumbufu kwa kwenda mbele mpaka uwe na mtu wa kukubeba. Bahati mbaya wa kukubeba lazima umpatie mahela ya kutosha pia.Mhhh! Panahitaji kubinafsisha pale ili mambo yanende
 
kamuulize bosi wako masha kwa nini hivyo vita haviishi
polisi wanafanya nini na watu ambao magufuli amewakamata so far yeye amehakikisha wanachukuliwa hatua

Kwa hiyo, wezi wa mifugo ambao Magufuli kawakamata amehakikisha wanachukuliwa hatua. Lakini twajua bado vita vya mifugo vinaendelea. Kwa hiyo kuna wengine bao hajawakamata, au?

Kwa nini asiende kushugulikia hayo ya mifugo? Na samaki wanaopigwa mabomu, na kuvua kwa vyandarua. Badala ya kwenda kukagua mafaili BRELA kutafuta details za washindani wake wa biashara ya guest house?
 
its sad! inapunguza sana ufanisi, ukienda tu faili lako linachukua 2 hours kutafutwa, au unaambiwa utafute mwenyewe.wanapata pesa za kutosha walitakiwa wafanye computerazation .......tutafika tu mzee

Ubovu wa BRELA ni zaidi ya hapo!! Kuna wakati nilikuwa nafanya kwenye benki moja, na mteja anapohitaji kufungua business account, hati zake za usajili (Certificate of Registration & certificate of incorporation) ilikuwa ni lazima zipelekwe BRELA for confirmation!! Mbaya zaidi, i was working with people whose minds never change!! Amini usiamini, ilikuwa inachukua zaidi ya miezi sita for such confirmation!! Kama kuna kazi ambayo sitaisahau basi ni working with those BRELA documents!!! Ni very terrible!!
 
Hata kama alikwenda kwa shughuli zake akakuta hakieleweki, kama raia ana haki ya kikatiba kutoa maoni yake na kama kiongozi mzuri vile vile ana haki ya kukemea uoza popote auonapo sio mpaka asubiri mhusika. Huo ndio uzalendo. Jenerali anakwambia kiongozi bila kiherehere si kiongozi wa kweli. Subiri sasa uone mafaili yatakavyopangwa utashanga
 
Waziri mwenye muda wa kuzunguka BRELA na TRA kusajili mradi wake wa guest house hawezi kuwa ``by far most hardworking minister. `` Mtu mchapa kazi muadilifu mwenye majukumu mazito angesubiri amalize uwaziri ndio aanze ku run guest house.

Magufuli ni waziri, ni mbunge, ana mishahara kibao, I'm sure hakosi kwenye one of them sekretarieti za kamati kuu, anakula maposho ya mikutano kushoto na kulia.

Na bado una run ki guest house Biharamulo, cha nini? Huyo ndio ``the most hardworking``?

Jamani WaTZ,
Kama ni umiliki wa biashara vigogo zaidi ya 80% wamo, lakini kwenye utendaji sidhani kama kuna anaemfikia Magufuli. GIVE THE DEVIL HIS DUE, anapofanya vizuri mtu apewe sifa zake.
 
Sasa Magufuli nae kawa mkubwa sasa, kama kweli anauchungu na nchi yetu anaogopa nini upresidenti! Ajikaze tuu, aanze mchakato na mikakati ya nguvu ndani na nje ya chama mapema (lakini si kama alivyofanya Kikwete kuhonga watu). Tunaweza kupata kiongozi angalau wa maanamaana kiasi.
Uwoga wa kujitokeza kwa hilo unatokana na ni nn?

nimejiuliza sana huyu jamaa ni action oriented lakini bado nafsi yake hajaweza kuifuataa kwani mtandao hawamtaki ndo maana wanamkebehi hata kwa nafasi (vitoweo) ila yeye akawaonyeshaa majina ya wizara sio issue,kazi tuuu.

unafikiri kwa nn hakupangiwa miundo mbinu pamoja na mafanikio yote alopata pale?????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom