Maggid Mjengwa unakera!!

Hii habari Maggid aliileta hapa na sio yeye alieipost kule kwa shigongo sisi wenye majina halisi tutakoma kujibishana na maroboti!
Mkuu kwa kuangalia Semantics baada ya Swali la TANMO kuna neno linasema JIBU LANGU sasa huoni kuwa hilo jibu linatoka kwa mlengwa.. ambaye ndie anajibu shutuma au ? kama sio hivyo basi kuna impostor ambaye anajifanya yeye ndio muhusika
 
mjengwa kwenye dini ndo sijakuelewa,wewe dini gani?coz ukristo+uislam umeukana,inawezekana hlo nalo likawa tatzo
 
Hii habari Maggid aliileta hapa na sio yeye alieipost kule kwa shigongo sisi wenye majina halisi tutakoma kujibishana na maroboti!

Si kweli....Majidi ana platform kule kwa Shigongo..NIMEMSOMA MARA NYINGI TU....unataka kusema nani kapeleka hii khabari kule kama si yeye mwenyewe?
 
Hivi wewe Mggid mbona unaenda kujibia maswali ya JF kule kwa Shigongo?
Why dont you Put your views here yaishie hapa.
Achana na mambo ya kwenda kwenye Forum nyingine na kusema kule JF wako hivi na Vile?

Hebu wadau pitieni hapa Chini.

Kuna Wanaofikiri; Maggid Mjengwa Ni.... - Global
Publishers
jiran yang majjid anazingua sasa, hana msimamo sijawai kuona mwanaume anayekimbia matatizo c abak tosolve kiume na kii intelligency humu humu ndani na c kuyatoa nje mi nahis hata matatizo ya ndoa yake huwa anayatoa nje............
 
Kwani ikipelekwa kule kuna kosa gani? hivi mbona nyie watu mnatabu sana mnagubu kama ndugu wa mume...................khaaaaaaaaaaa

Mohammed,
Punguza hasira, natambua jamvi sometimes linakera ila usikwazike. Play your part as a gentleman, i knw u can.
 
When it comes to political journalism, Mjengwa has credits from me. Ila kupeleke mambo ya JF kule kwenye udaku ambapo hakuna intergrity yoyotey ya uandishi anakuwa anaaksi (reflect) his true self! NI KATI YA WALE WANAOJIFIKIRIA KUWA NA STATUS KWENYE SOCIETY. Hivi ni nani hapa atkosa usingizi kama Mjengwa ni mpagani, mjahidina, mlokole, cuf, ccm au awepo awepo tu?
 
Kuna watu wametumwa kuja kuivuruga JF makusudi kwa kuichanganya na mambo ya udaku
 
Niliiona hii habari kwenye blog yake pia, nadhani anatafuta sympathy ya watu....
Sikufurahishwa na yeye kwenda kuipost kule, ila niliamua kumpuuza ili maisha yaendelee.
 
When it comes to political journalism, Mjengwa has credits from me. Ila kupeleke mambo ya JF kule kwenye udaku ambapo hakuna intergrity yoyotey ya uandishi anakuwa anaaksi (reflect) his true self! NI KATI YA WALE WANAOJIFIKIRIA KUWA NA STATUS KWENYE SOCIETY. Hivi ni nani hapa atkosa usingizi kama Mjengwa ni mpagani, mjahidina, mlokole, cuf, ccm au awepo awepo tu?

Nilishasema huyu jamaa is too much opportunist. Kulikuwa na thread hapa inajadili Lowassa kuongea na TBC, badala ya kupost maoni yake kwenye hiyo thread, akafungua thread nyingine juu ya tafsiri yake binafsi. Nilicriticise this; wapo walionielewa, wengine hawakunielewa. Kwa sababu tayari kulikuwa na very active thread inajadili mada husika sikuona umuhimu wa yeye kufungua another thread just to express his personal interpretation of the same issue. Labda baada ya kupigwa vijembe kwenye ile thread ameamua kwenda kuseek sympathy sehemu nyingine.

A journalist is not supposed to use his influence in order to meet personal objectives and should be well aware of the consequences that may result from his actions. Ndumilakuwili ni watu wabaya sana kwenye society.
 
maggid huwa anatoa maswali anayoulizwa hapa anaenda jibia maswali ya hayo kwenye blog yake na mtandao wake wa gazeti kwanza jamii.vyombo hivyo vinasomwa na watu wengi,inawezekana ni mwandishi wa shigongo ali-copy akaipeleka kwa shigongo,ama mdau wa mitandao ya maggid au hata member wa hapa JF.
pale kwa shigongo kuna mahali unaweza kuweka au kuanzisha forum yoyote ukiwa member.
pia sioni tatizo hapa jamaa zangu
 
Majidi sucks jamani, mie hata simwelewagi kabisa maana ni kama **** fulani vile huku kwetu majuu tunamuona kama kidemu fulani kisichotulia...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom