Maggid Mjengwa unakera!!

Lakini huyu majjid si last week tu ametoka ku-apologise hapa jamvini? Basi ni tatizo kumbe maana nami nilimtetea kwa sign of a gentleman.
Ngoja nipitie hiyo blog kutazama kafanyaje juu ya jamvi letu hapa...
 
Lakini huyu majjid si last week tu ametoka ku-apologise hapa jamvini? Basi ni tatizo kumbe maana nami nilimtetea kwa sign of a gentleman.
Ngoja nipitie hiyo blog kutazama kafanyaje juu ya jamvi letu hapa...

Hiyo habari aliileta hapa kwanza ngoja nicheck link..........
 
Wakuu habari anayoizungumzia mleta mada aliileta hapa jamvini Maggid na hapa chini nimeiweka.

Asanteni




  • user-offline.png
    maggid

    12th February 2011 05:06 AM
    #1
    JF Senior Expert Member
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_highpos.png
    reputation_highpos.png
    reputation_highpos.png
    reputation_highpos.png
    reputation_highpos.png
    reputation_highpos.png



    Join Date : 3rd December 2006
    Posts : 278
    Thanks 4 Thanked 297 Times in 87 Posts

    Rep Power : 65




    Did you find this post helpful? |
    icon1.png
    Kuna Wanaofikiri; Maggid Mjengwa Ni.....


    Ndugu Zangu,

    Kuna mwenzetu ( JF) anahoji...

    quote_icon.png
    Originally Posted by TANMO
    Ujumbe mzuri Mjengwa, ila hueleweki Braza...
    Mara utetee mabadiliko, mara uwe mstari wa mbele kuyapinga....
    Nadhani kwa mwandishi/mchambuzi kama wewe hupaswi kuegemea upande wowote...
    Pale unapotoa uchambuzi kwa kuegemea upande mmoja basi unakuwa ni mshabiki siyo mchambuzi tena...
    Rejea hoja yako dhidi ya CHADEMA kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge kupinga kulazimishwa kuungana na wapinzani wengine...

    Jibu langu:

    TANMO,

    Ahsante sana. Sishangai kuwa sieleweki kwa wengine. Jamii yetu haina mazoea ya watu kama mimi. Lakini najua, kuna wanaonielewa. Natumai iko siku nawe utanielewa.

    Maana, kuna wanaofikiri, kuwa Maggid Mjengwa ni CCM. Kuna wanaofikiri kuwa mimi ni CHADEMA, kuna wanaofikiri kuwa mimi ni CUF, kuna wanaofikiri kuwa mimi ni Muislamu. Kuna wanaofikiri kuwa mimi ni Mkristo. Wote hao wanabahatisha.

    Sijapata kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa. Ningependa nikumbukwe, kuwa Maggid Mjengwa alikuwa Mtanzania na Mjamaa aliyejitahidi kufanya yale aliyoamini yana maslahi kwa Tanzania, basi.

    Maggid,
    Iringa,
    Jumapili, Februari, 12, 2011
    http://mjengwa.blogspot.com

    Last edited by maggid; 12th February 2011 at 05:38 AM.​

    progress.gif
    Reply Reply With Quote Thanks
  • Remove Your Thanks
    The Following 3 Users Say Thank You to maggid For This Useful Post:

    MaxShimba (12th February 2011), Mohammed Shossi (12th February 2011), Waberoya (12th February 2011)​


 
Hii ishu ilikuwepo hapa kabla ya kuwekwa kule global, na sioni tatizo lolote la yale aliyoandika.
 
watu wengine bwana,ana sababu gani ya kupeleka habari ile kwa shigongo:sick:
 
Hivi wewe Mggid mbona unaenda kujibia maswali ya JF kule kwa Shigongo?
Why dont you Put your views here yaishie hapa.
Achana na mambo ya kwenda kwenye Forum nyingine na kusema kule JF wako hivi na Vile?

Hebu wadau pitieni hapa Chini.

Kuna Wanaofikiri; Maggid Mjengwa Ni.... - Global Publishers
Asante mkuu nimeisoma,huyu jamaa anapenda sana kusemea vitu sehemu isiyohusika,kama jambo lilikuwa humu JF kwa Shigongo kaenda kutafuta nini?Si angekuja kujibia humu au anaogopa?Kwa kuwa ametukera nashauri itafutwe dawa ya watu kama yeye ili siku nyingine mambo haya yasijirudie.
 
Mkuu habari ile hakuweka maggid kule......fanya tafiti kidogo kabla ya kupost thread......
Hata kama hakuweka yeye kwanini kazungumzia mambo ya JF nje?Angekuja humu na kuyasema yote.
 
Mkuu habari ile hakuweka maggid kule......fanya tafiti kidogo kabla ya kupost thread......

I have never seen your JF posts Taken there!!
Why only him?
Any way it just depend on the bush I came from.
 
Odo na wewe mtu wa kukurupuka? siamini macho yangu hebu soma post namba 7,8 na namba kumi halafu ujione unasimamia wapi...........

sijakurupuka mwanangu namuuliza huyu mleta mada,kwamba mjengwa ana sababu gani ya kupeleka habari hii kwa shigongo,maana naamini ukipita kwa shigongo mara mbili kwa wiki lazma uwe mbeya,ndio maana humu ...... hauishi.:coffee:
 
sijakurupuka mwanangu namuuliza huyu mleta mada,kwamba mjengwa ana sababu gani ya kupeleka habari hii kwa shigongo,maana naamini ukipita kwa shigongo mara mbili kwa wiki lazma uwe mbeya,ndio maana humu ...... hauishi.:coffee:

Hii habari Maggid aliileta hapa na sio yeye alieipost kule kwa shigongo sisi wenye majina halisi tutakoma kujibishana na maroboti!
 
Hii habari Maggid aliileta hapa na sio yeye alieipost kule kwa shigongo sisi wenye majina halisi tutakoma kujibishana na maroboti!

niliiona na shigongo kaitoa habari hii kwenye blog ya mjengwa kama si humu,ila sikuwa najua wanaume wanaweza kuwa namna hii :coffee:
 
I have never seen your JF posts Taken there!!
Why only him?
Any way it just depend on the bush I came from.

Kwani ikipelekwa kule kuna kosa gani? hivi mbona nyie watu mnatabu sana mnagubu kama ndugu wa mume...................khaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom