Maggid ana nini na CDM?

bro pamoja na kuoa mzungu bodo hastaarabiki tu,ndo matatizoya wahehe,shule ndogo brain haipo smart thats y,ngoja ntampa taarifa mzungu anyang'anye laptop,lkn sometimes tuvumilie coz hata mke wake kamzidi umri so ni kama anambemenda,mwambi rostamhatampa chochote zaidi ya kumpotezea amani kwenye jamii hii ya wenye hasira

Yaani wewe ni chadema hasa. Maana kila neno kati ya hayo yenye rangi nyekundu hapo juu yanaashiria u-chadema uliokomaa.

Isipokuwa tuu ukumbuke kwamba maggid amesoma kuliko mbowe, na mbowe siyo muhehe.
 
bro pamoja na kuoa mzungu bodo hastaarabiki tu,ndo matatizoya wahehe,shule ndogo brain haipo smart thats y,ngoja ntampa taarifa mzungu anyang'anye laptop,lkn sometimes tuvumilie coz hata mke wake kamzidi umri so ni kama anambemenda,mwambi rostamhatampa chochote zaidi ya kumpotezea amani kwenye jamii hii ya wenye hasira

Isikutishe kuoa mzungu.

Hapa USA kuna Class ya wazungu inaitwa "WHITE TRASH"
kuoa mzungu hakuna maana kwamba unapata kitu chenye au kilichostarabika.

White Trash ni wazungu wazembe wenye mambo ya ovyo hata zaidi ya watu wa dunia ya tatu.

Huenda ni afadhari angeoa IMELDA Se DZANGIHO kutoka Mbarali LABDA ANGEKUWA NA UAFADHARI
 
Kwa mtu yoyote yule kuna njia nyingi za kuonyesha kuwa jambo fulani hujaridhishwa nalo. Mwingine anaweza kupiga kelele, mwingine akalia n.k.

Mimi nafikiri Majid anaelewa yote haya lakini kuna kitu kinamfanya asiweze kusema ukweli. Ni masilahi binafsi au ushabiki. Mengi yameongelewa kuhusu suala la wapinzani kuunganisha nguvu n.k. Kuna mambo lazima tujiuulize nini kinaendelea sasa kwenye siasa za Tanzania?. Shida ya watanzania ni vyama kuungana? au kero kuondoka?. Kuna wakati kuna maswali najiuuliza muungano huu unaotakiwa ni kwa maslahi ya nani?. Inaniwia viguma sana kupata jibu kwa sababu matatizo ya Tanzania ni kuwa kuna misingi madhubuti imechezewa na hivyo kusababisha matatizo makubwa kwenye jamii.
MA anaongoza maadam mambo yao wanayao yataka yametimizwa.

JE kuna faida yeyote kwa vyama vya siasa kuungana kwa mwananchi wa kawaida? J ibu ni kwamba hakuna, kama vyama hivyo kimoja au zaidi havikidhi haja ya wananchi.

Mimi nigependa kuongelea hoja ya CUF na CHADEMA kuungana bungeni huku sehemu zote za chini wakiwa pia ni mahisidi wa kisiasa. Katika mjadala huu TLP, NCCR haviongelewi sana kwa nini?


Nimemsikia Julius Mtatiro akiwashutumu vikali CDM kuwa ni kama masikini ameamka tajiri kwa hiyo amechanganyikiwa, nimemsikia Hamad rashid akijinadi kuwa yeye ni mkongwe wa siasa. Hizi hoja zote zina mchango wote kwa maisha ya kila siku ya mtanzania (mtanganyika)? . Nimeiweka mtanganyika kwa maana halisi nitakayo ieleza . Lakini nilimsikia bwana rashid akijaribu kutoa mfano eti wa mafanikio ya vyama vya Liberal na Conservative - Uingereza.

Kwa hali ya kawaida kama angejua shida wanayopata watu wa uingerza sasa nafikiri singetoa mfano huo, ni mfano mgumu hata waingereza unawapa shida kwa sababu vyama vikuungana wakati sera hazijaungana hapo ni shida kubwa.

Kimsingi vyama vya CUF, CCM, CDM ni vyama ambavyo vimesajiliwa kufanya siasa, na vote havijaona umuhimu wa kuungana na kuvivunja vingine miongoni mwao sasa muungano wa bungeni tu ni kwa maslahi ya nani?.Shida kubwa ya wanasiasa wetu ni kufikiri wako smart wakati hawajui hata wafanyalo, naa zaidi wanapojifikiria wao na kujiona bora.

Mimi nimefanya utafiti mdogo tu na kugudua kuwa kuna shida kubwa ya kiungozi chini kwani viongozi wengi wanafikiria temporary solutions za muda huo ili waweze kuongoza kwa kipindi kile bila kuangalia mbele.

Moja ya vitu ambavyo sijaelewa, ni hiki kitu kinaitwa serikari ya umoja wa kitaifa, kinachonifanya nisielewe ni kwa sababu mpaka sasa sijui kwamba Zanzibar inaongozwa kwa sera za CCM au CUF au sera mchanganyiko. Au serikali ya Zanzibar inaongozwa kwa kutumia busara za viongozi tu, Zaidi ya yote najiuliza kama sera mchanganyiko zikifanya vizuri kila mtu atafurahi na mimi nitafurahi. Lakini zikifanya vibaya hapa ndiyo kuna shida zaidi na unagundua tatizo lingine zaidi. Nani atalaumiwa? Ni CUF au CCM?, Jibu ni kwamba vyote viwili vinawajibika. Utamu utaongezeka zaidi vikifanya vizuri, kwani sijui itakuwaje tujagueni kama tulivyo au vipi?. Nimeandika haya kwa sababu hay ni miongoni mwa maswali magumu kwenye kila umoja yanajitokeza.

Ningeweza kusema na kuandika mengi lakini ninaomba wanajamvi muishia hapa na kuwapa swali la “kuderive Equation “ ya yaliyotolea 1984 kwenye CCM na haya yanayotokea leo . Ni mategemeo yangu kuna picha unaweza kuipata bila chenga, wenye masikio na wasikiena wenye macho na waone.

Mwisho.

Hakuna faida yoyote kwa mtanzania wa kwaida kwa vyama vyovyote vya siasa kuungana , labda faida inayotakiwa ni ya viongozi tu.
 
huyu maggid mjengwa alilelewa katika kituo cha kulelea yatima baadae akachukuliwa na kuanza kulelewa na mzungu baadae alivojua goodmorning akamchakachua mzungu,akapelekwa sweeden kusomea uandishi wa habari aliporudi akarubuniwa na CHAMA CHA MAUAJI,ana watoto wa4 wawili mapacha,kwa ufupi anitwa baba gustav,alikua na akili na misimamo baada ya kunyoa rasta ndo akawehuka.....katika gazeti la mme wao RAI ana kona ya maggid...................kwa kifupi anakaa Iringa gangilonga,pambaaaf sake




Siyo Ajabu kushabikia majambazi ccm huyu jamaa kama yuko kule si mnajua wanalima bangi na baadhi wanatumia kama mboga, sasa inawezekana kwa mantiki hizo ikawa tuanaongea na watu ambao wamepoteza ktk vichwa vyao, sidhani kama ni kweli ni mtu aliyesomea nchi ya watu tena yenye maendeleo makubwa kielimu na uchumi ashabikie majambazi yanapofanya uhalifu.
 
Jamani, si Maggid peke yake anayesumbuliwa na Chadema. Mmemsikia waziri mkuu? CCM na wafuasi wake wote wako obsessed na Chadema.
Na mtasikia mengi tunapoelekea 2015.
 
Kaka yangu Maggid Umeandika vizuri sana katika uchambuaji wako wa namna chama cha Chadema kinavyo endesha mambo yao Bungeni. Lakini pia Maggid lazima uelewe kwamba chadema wakati mwingine huwa wana wasiwasi wa vyama vingine vya upinzani kama vile viko genuine. Sasa wanaogopa kwa sababu CCM wanaweza wakawa wanawatumia kinamna. You just never know. NAOMBA SANA UWASAMEHE WATU WACHACHE AMBAO WANAAMUA KUKUSHUTUMU NA KUKUATTACK PERSONALLY, THAT IS UNACCEPTABLE AND SHOULD NOT BE TORELATED BY JAMII FORUM ADMINISTRATORS. POLE SANA KWANI UNADEAL NA WATU WENYE UFAHAMU WA CHINI KIDOGO.
NAONA KIDOGO MAMBO YA MITANDAO YANAWATIA WAZIMU KIDOGO.
 
Makongorosi tafadhali sana usimshambulie mtu namna hiyo kwa sababu tu ametoa maoni ambayo huafikiani nayo bwana. Nakuomba,sasa anakaa gangilongo lina msingi gani hapa jamani. Pole sana kwa jaziba zinazo kukabili kweli watu bwana mnataka katiba lakini hamtaki freedom of speech. Mimi naipenda chadema sasa kwa hiyo na wewe pia unaipenda chadema lakini let say kweli labda maggid anaipenda ccm which i doubt, tatizo lako nini. Mbona alivyo chambua suala la yule alikuwa waziri wa sheria hamkutia neno. Kwasababu alisema kile unachokitaka kusikia.
Bwana oprah winfrey aliendorse baraka obama ije kuwa maggid kuelezea hoja yake. Pole sana kwa ufinyu wa mawzo ulionao na i hope you never become a leader cause you have all indications that you will be dictator.
 
Maggid nimuandishi wa habari kwa hiyo ndiyo kazi yake. Acha wewe unataka kumuweka Maggid kwenye mfuko bwana. Let people enjoy their freedom of speech.
ACHENI TABIA YAKUTAKA KUWANYANYASA WATANZANIA WENZENU NAKUWA TUNUKI WAGENI. KAMA NYIE MNA KIFUA NENDENI MKA MTILIE NGUVU ROSTAM AZIZI KULE BUNGENI. MAGGID SIYO FISADI ANAJARIBU TU KUWAPA HIS OPINION YA WABUNGE WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO HAPO BUNGENI.]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]
 
Na pia naongeza kwa kusema kwamba mimi ni mhehe na nimesoma sana kaka ila tu hiyo siyo issue acheni jamani kama hauna cha kusema siyo lazima upost message unaweza kuchukua muda huo kujielimisha kama vile how to use excel spreadsheet na mambo mengi sana humu kwenye mtandao. Na mwisho maggid siyo mhehe pole sana kujaribu kujifanya kama unamjua sana. Hata angekuwa mhehe so what? Be ndauli kumbi mna kiki mkundelesa.
 
Hajashabikia kitu chochote nyie vipi lakini. Yaani mtu kuelezea anachofikiria kichwani kwake ni makosa?
Bangi na ugimbi unawasumbua nini? Mimi naona wavuta bangi ni ninyi siyo maggid.
 
Pole sana kwa roho yako mbaya yakumtukana kaka wa watu. Wewe tuwekee basi na wewe picha yako na ya mke wako tuione.
 
Huo ndio mtazamo wake na nadhani ni vizuri kuheshimu mawazo yake kwani hapo ndipo mwisho wa fikra na akili zake. Ni watu wachache sana waliojaliwa kuona mbele ya ukuta lakini ni wengi zaidi wanaoshindwa kuona hata pale wanapokanyaga kwa kufunika mguu kabla ya kutazama.tumuelewe tu kwani hata wale wa mirembe hutenda mambo kwa upeo wa akili zao wakiamini wako sahihi.ndio maana mimi nikawa Firstlady leo ,na yeye akawa Maggid
 
Uko USA unafanya kazi gani huko? Good sasa kaowa white trash? How do you know? Wewe umeoa nani au umeolewa na nani? Na kwa nini?
Haya sasa utarudi lini kusalimia nyumbani? Vipi baridi nasikia Winter la safari kali sana? Halafu vipi kazi huko jamani unaweza ukatuconnect unafanya wapi siku hizi ? Mambo ya CNA nini? I am just checking?
 
Hivi unauhakika na unachokisema lakini au ndiyo mzee wa udaku tu. Pole sana sasa hivi mtu atakuwaje yatima kama anawazazi wake wote wawili. Je kama ni kweli ni yatima hivi hiyo issue inahusiana na nini na huu mjadala wote hapa? Jamani watanzania mnanisikitisha sana na mambo yenu ya character assisnation kwa ndugu zenu lakini kifua cha kuweka picha zenu tuwaone hamna sasa jamani kwa nini lakini maggid amekuwa tatizo lenu.
 
Maggid. Unakera.

Unakera kwa sababu wewe sio mchangiaji wa kawaida. Unategemewa (hata kama sivyo) kuandika kwa uchambuzi sio kutoa maoni au mawazo yako pekee.

Unaposema 'watanzania' tuna tabia....unawezaje kuongelea watanzania wote? Mama yangu ameukataa ukweli upi? Ameupotosha ukweli upi? Unadai ushahidi, na wewe leta ushahidi wa 'watanzania' wanaopotosha au kupinga ukweli.

Hujui maana ya passive resistance. Hujui maana ya walk-outs. Ungeanzia hapo kuonyesha CDM wamekosea wapi.

Hoja unazosema CDM wangejibizana kwani hazikutolewa? Hukuona?

Unathubutu kuanza kuongelea serikali za mseto huko mbeleni, whats the point of kuwa na vyama vingi? Ndio demokrasia gani unaongelea?

Mawazo yako yanakera. Unakera.

Unataka tukuamini unaweza kuwa upande wowote. Ukasema chochote. Huwezi. Huo ni woga. Simamia unachoamini na siyo events! Eti kukiwa na mvua 'wananchi tuvae buti' jua 'wananchi tutembee vifua wazi hata wanawake' kisa joto!

Mwisho, unakera unaposema 'mambo ya kawaida ya siasa' yazoelewe! Uonevu, hila, udanganyifu etc. Tuvizoee! Ni mawazo yako. Ni maoni yako. Kama mapungufu yako huyaoni unatofauti gani na CDM?

Think again!
 
Posee...

maggid001bc.jpg

Maggid is the coolest guy who happens to reason with low minded people. Kama huelewi tafsiri tuwasiliane ipo ya kiswahili, kihehe na kijapan na wale wapendao spaniola nitafuteni basi.
 
jamani kuna mtu ana cv ya huyu jamaa aiweke hapa.tusije tukawa tunamjadiri mtu ambaye hana hata hadhi ya kujadiliwa hapa jf (great thinkers). Kwanza mtu mwenyewe kashepu kake anaonekana alikosa lishe wakati wa utoto na ujana wake. Isije ikawa uelewa wake mdogo ndio sababu anaandika hizo pumba, harafu sisi tunamjadili hapa mtu ambaye ubongo wake hauna afya kwa kusosa lishe utotoni. Amshukuru huyo mzungu anayemlea kwetu mwakaleli ukiwa na kimwili kama cha magid huwezi kupata mke.mbegu hafifu kama ya majid zinaogopwa kuchafua ukoo

leka inyali isya ubukonyofu
 
bro pamoja na kuoa mzungu bodo hastaarabiki tu,ndo matatizoya wahehe,shule ndogo brain haipo smart thats y,ngoja ntampa taarifa mzungu anyang'anye laptop,lkn sometimes tuvumilie coz hata mke wake kamzidi umri so ni kama anambemenda,mwambi rostamhatampa chochote zaidi ya kumpotezea amani kwenye jamii hii ya wenye hasira

hivi wewe unaakili au punguani, suala la kutukana wakina mkwawa wote ni upuuzi usio kifani. Hivi wewe kichomeo mkeo anafananaje? Sasa mbona unaanza kuniboa kabisa yaani natamani sana tuonane uso kwa uso nitakuonyesha jeuri ya mhehe. Jamani nyie watu wadunia ya kumi maggid sio mhehe mimi ndio mhehe tuonane pa stendi kwa mwamwindi.
 
Jamani kuna mtu ana CV ya huyu jamaa aiweke hapa.Tusije tukawa tunamjadiri mtu ambaye hana hata hadhi ya kujadiliwa hapa JF (Great Thinkers). Kwanza mtu mwenyewe kashepu kake anaonekana alikosa lishe wakati wa utoto na ujana wake. Isije ikawa uelewa wake mdogo ndio sababu anaandika hizo pumba, harafu sisi tunamjadili hapa mtu ambaye ubongo wake hauna afya kwa kusosa lishe utotoni. Amshukuru huyo mzungu anayemlea kwetu Mwakaleli ukiwa na kimwili kama cha Magid huwezi kupata mke.Mbegu hafifu kama ya Majid zinaogopwa kuchafua uko

I CAN NOT ARGUE WITH A FULL. YOU ARE A COMPLETE IDIOT FULLSTOP. ONE DAY YOU WILL WISH TO BE SKIN LIKE MAGGID. HE IS IN SUCH A GOOD SHAPE. YOU EAT TOO MUCH MEAT THAT'S WHY YOUR BRAIN VIBRATES SO MUCH.



 
Jamani kuna mtu ana CV ya huyu jamaa aiweke hapa.Tusije tukawa tunamjadiri mtu ambaye hana hata hadhi ya kujadiliwa hapa JF (Great Thinkers). Kwanza mtu mwenyewe kashepu kake anaonekana alikosa lishe wakati wa utoto na ujana wake. Isije ikawa uelewa wake mdogo ndio sababu anaandika hizo pumba, harafu sisi tunamjadili hapa mtu ambaye ubongo wake hauna afya kwa kusosa lishe utotoni. Amshukuru huyo mzungu anayemlea kwetu Mwakaleli ukiwa na kimwili kama cha Magid huwezi kupata mke.Mbegu hafifu kama ya Majid zinaogopwa kuchafua uko

PUT YOUR OWN CV FIRST FOOL. GIVE ME A DEFINITION OF A CV? PLEASE GIVE ME A BREAK ? YOU ARE SO LOST BEYOND HELP.
 
Back
Top Bottom