Maggid ana nini na CDM?

sikuwa najua kumbe ukioa au kuolewa na mzungu unastaarabika,tembea uone:coffee:
kwa hiyo we umeolewa na kutembea ila bado hujastaarabika,hayo mambo mwambie mwandishi maggid sio mimi,au kwa kukusaidia omba talaka ili uonekane hujui kitu ili tuanze upya
 
Jamani kuna mtu ana CV ya huyu jamaa aiweke hapa.Tusije tukawa tunamjadiri mtu ambaye hana hata hadhi ya kujadiliwa hapa JF (Great Thinkers). Kwanza mtu mwenyewe kashepu kake anaonekana alikosa lishe wakati wa utoto na ujana wake. Isije ikawa uelewa wake mdogo ndio sababu anaandika hizo pumba, harafu sisi tunamjadili hapa mtu ambaye ubongo wake hauna afya kwa kusosa lishe utotoni. Amshukuru huyo mzungu anayemlea kwetu Mwakaleli ukiwa na kimwili kama cha Magid huwezi kupata mke.Mbegu hafifu kama ya Majid zinaogopwa kuchafua ukoo
 
Maggid Mjengwa is extremely chameleonic. Ni Maggid huyu huyu wakati wa campaign alikua anatumia blog yake kumpigia campaign JK wazi wazi. Na hata yeye mwenyewe alitoa msimamo wake kwamba ni kwa nn atampigia JK kura. Ni huyo huyo baada ya matokeo alianza usifia upinzani kwa kazi nzuri. Ni huyu huyu Maggid baada ya mauaji ya kule kwao Mbarali. Ukimuuliza chanzo cha mauaji hayo na ya Arusha ni nini atakuambia ni AR ni upinzani, mbeya ni CCM na serikali yake. Ukimuuliza ni kwanini unatumia nafasi yako kuwahadaa watu waipigie CCM hakupi jina. Angalia jinsi anavyojadili kuhusiana na maozo ya Richmond, Dowans, etc. The man is a pitiable CCM puppet who's using the pen kudhoofisha upinzani. It's too late. He needs to get back to school and acquaint himself with the international politics to establish the truth behind wabunge kutoka nje. Maggid needs to know that changes are bound to come, come what may.

Makindi, yote uliyoyaandika ni UONGO MTUPU, umeyaandika bila chembe ya haya. Hata hivyo, naheshimu uhuru wako wa kujieleza. Umefika mahali unaandika kuwa nilitoa msimamo kuwa ni kwa nini nitampigia kura JK! Kama una ushahidi wa hilo uweke hapa hadharani, ukishindwa useme tu samahani kama una chembe za uungwana.

Niliyoyaandika ni maoni yangu. Niliandika nikijua nachochea mjadala na si wote watakaokubaliana nami. Ni kawaida, mie mpenzi wa Simba, kuna hata Simba wenzangu wanaonichukia.

Mwaka juzi kulikuwa na sakata la mchezaji Athumani Iddi kufungiwa na TFF kucheza soka kwa vile Simba hawakumpa kibali cha uhamisho. Simba walisema wako tayari kumwona Athumani Idi akiuza ndimu kuliko kumruhusu kurudi Yanga. Niliandika makala kwenye gazeti la Sayari kumtetea Athumani Iddi. Niliweka bayana kuwa, kuwa nilikuwa mpenzi wa Simba lakini kwa lile nilisimama upande wa Athumani Iddi.

Siku ile nilipigiwa simu nyingi na kutumiwa sms za WanaSimba wenzangu wenye hasira. Ikafika hata mmoja wa viongozi wa Simba alinipigia na kuniambia; " Maggid wewe si Simba mwenzetu, ni kondoo uliyevaa ngozi ya Simba!"

Na juzi usiku nimeshambuliwa vikali na Redio Imaan ya Morogoro. Nimeambiwa maneno mengi ikiwamo kuwa mimi mnafiki, mchochezi , na kuwa natumiwa kupambana na Waislamu. Kisa? Niliandika kwenye Raia Mwema kuwa redio hiyo inachochea uhasama kati ya Wakristo na Waislamu!

Tatizo langu ni kuandika mawazo yangu kwa uhuru. Ndio maana naamini, kuwa kuna CHADEMA wanonichukia, lakini kuna wanaonipenda pia. Hivyo hivyo kwa CCM, CUF, Waislamu, Wakristo na wengineo. Lakini naamini pia, kwa jinsi nilivyo, wote hao wanaweza pia kuniheshimu. Ni matumaini yangu.
 
Hamumtendei haki Maggid nadhani yeye ni mtu anaeona kwa jicho la tatu kuna vitu vingine haihitaji kufanya ili kuwafurahisha watu fulani, napenda watu wanaochambua mambo na adhari zake za muda mfupi na muda mrefu hizi analysis huwasaidia watu kujua tulipo na tuendako.

Usife moyo Magid nice article.

TUNAKUJUA WEWE NI MAJJID MJENGWA NA TUTAKUTAFUTA KWA MAAZUNGUMZO LEO JIONI

pale pale ulipokaa jana
 
Jamani kuna mtu ana CV ya huyu jamaa aiweke hapa.Tusije tukawa tunamjadiri mtu ambaye hana hata hadhi ya kujadiliwa hapa JF (Great Thinkers). Kwanza mtu mwenyewe kashepu kake anaonekana alikosa lishe wakati wa utoto na ujana wake. Isije ikawa uelewa wake mdogo ndio sababu anaandika hizo pumba, harafu sisi tunamjadili hapa mtu ambaye ubongo wake hauna afya kwa kusosa lishe utotoni. Amshukuru huyo mzungu anayemlea kwetu Mwakaleli ukiwa na kimwili kama cha Magid huwezi kupata mke.Mbegu hafifu kama ya Majid zinaogopwa kuchafua ukoo

Wewe ungefanya la busara ukaweka CV yako usimshusie hadhi ilhali wewe mwenyewe huna busara na ujumbe wako unadhihirisha hayo! Nina wasiwasi na elimu yako mkuu.................
 
Makindi, yote uliyoyaandika ni UONGO MTUPU, umeyaandika bila chembe ya haya. Hata hivyo, naheshimu uhuru wako wa kujieleza. Umefika mahali unaandika kuwa nilitoa msimamo kuwa ni kwa nini nitampigia kura JK! Kama una ushahidi wa hilo uweke hapa hadharani, ukishindwa useme tu samahani kama una chembe za uungwana.

Niliyoyaandika ni maoni yangu. Niliandika nikijua nachochea mjadala na si wote watakaokubaliana nami. Ni kawaida, mie mpenzi wa Simba, kuna hata Simba wenzangu wanaonichukia.

Mwaka juzi kulikuwa na sakata la mchezaji Athumani Iddi kufungiwa na TFF kucheza soka kwa vile Simba hawakumpa kibali cha uhamisho. Simba walisema wako tayari kumwona Athumani Idi akiuza ndimu kuliko kumruhusu kurudi Yanga. Niliandika makala kwenye gazeti la Sayari kumtetea Athumani Iddi. Niliweka bayana kuwa, kuwa nilikuwa mpenzi wa Simba lakini kwa lile nilisimama upande wa Athumani Iddi.

Siku ile nilipigiwa simu nyingi na kutumiwa sms za WanaSimba wenzangu wenye hasira. Ikafika hata mmoja wa viongozi wa Simba alinipigia na kuniambia; " Maggid wewe si Simba mwenzetu, ni kondoo uliyevaa ngozi ya Simba!"

Na juzi usiku nimeshambuliwa vikali na Redio Imaan ya Morogoro. Nimeambiwa maneno mengi ikiwamo kuwa mimi mnafiki, mchochezi , na kuwa natumiwa kupambana na Waislamu. Kisa? Niliandika kwenye Raia Mwema kuwa redio hiyo inachochea uhasama kati ya Wakristo na Waislamu!

Tatizo langu ni kuandika mawazo yangu kwa uhuru. Ndio maana naamini, kuwa kuna CHADEMA wanonichukia, lakini kuna wanaonipenda pia. Hivyo hivyo kwa CCM, CUF, Waislamu, Wakristo na wengineo. Lakini naamini pia, kwa jinsi nilivyo, wote hao wanaweza pia kuniheshimu. Ni matumaini yangu.

Mdogo wangu MAJIDI,
Unaonekana kupingwa na kila fora ya kitanzania sasa ni mawili...aidha wewe ni tatizo....au watanzania wenzako tu tatizo....huwezi kupingwa kwa kila hoja utoayo...huko nyuma nilipata kukwa mbia kuwa makala zako unazifanya ziwe authoritative kuliko convincing....inabidi ujifanyie self assessment otherwise you will keep on getting more critics
 
TUNAKUJUA WEWE NI MAJJID MJENGWA NA TUTAKUTAFUTA KWA MAAZUNGUMZO LEO JIONI

pale pale ulipokaa jana

Wewe kama nani......................? nadhani hujui unachokisema nakustahi sana kwa maana mimi watu wananifahamu na sina ID ya bandia kama yako hii inaonyesha mimi nina uthubutu na wewe na wenzio hamna!
 
Hamumtendei haki Maggid nadhani yeye ni mtu anaeona kwa jicho la tatu kuna vitu vingine haihitaji kufanya ili kuwafurahisha watu fulani, napenda watu wanaochambua mambo na adhari zake za muda mfupi na muda mrefu hizi analysis huwasaidia watu kujua tulipo na tuendako.

Usife moyo Magid nice article.

wewe ni cuf tunajua,hujawahi kuikubali chadema,unajua kuwa cuf imewatia aibu nyinyi wafuasi wake kwa usaliti wao lakini mnajikaza kiaina...
 
Mdogo wangu MAJIDI,
Unaonekana kupingwa na kila fora ya kitanzania sasa ni mawili...aidha wewe ni tatizo....au watanzania wenzako tu tatizo....huwezi kupingwa kwa kila hoja utoayo...huko nyuma nilipata kukwa mbia kuwa makala zako unazifanya ziwe authoritative kuliko convincing....inabidi ujifanyie self assessment otherwise you will keep on getting more critics

Mkuu hutamtendea haki Mggid kwa kumweleza huo ujembe wako unaobeba watu "

  • Registered Members: 31,177" wa JF kwenye population ya watu zaidi ya million 43! Nadhani kwa kukusaidia ni bora umwambie Maggid
Maggid mdogo wangu tuandikie makala za kukisifu chama chetu ili tukupambe kwa nyimbo, mapambio na thanks za kumwaga, na wala hatutakuwa na tatizo na wewe tutakusifia sana na kukutukuza na phd tutakubandika! Huo utakuwa ni uvivu wa kufikiria! kwani sisi sote hafikirii anachofikiria mwenyekiti wa chama kila mmoja anafikra zake na lazima aziwache ziwe huru!!!!
 
Wewe kama nani......................? nadhani hujui unachokisema nakustahi sana kwa maana mimi watu wananifahamu na sina ID ya bandia kama yako hii inaonyesha mimi nina uthubutu na wewe na wenzio hamna!

na kwasababu ya hiyo id yako ya kweli ndio maana unaitetea ccm/cuf kila siku maana you are a coward ukiwaponda watakutia nguvuni,...lakini unasound kimjengwamjengwa...afu umekaakicufcuf
 
wewe ni cuf tunajua,hujawahi kuikubali chadema,unajua kuwa cuf imewatia aibu nyinyi wafuasi wake kwa usaliti wao lakini mnajikaza kiaina...

Mkuu mimi sio kafu wa wau, mimi Mohammed H. Shossi muislam full stop! sina chama na ukisoma comments zangu utaona na wao kuna mambo yao sikubaliani nayo na huwa mnagonga thanks ila ukweli ukitolewa kwenye chadema mnanigeuka msiwe vigeugeu wakuu tupanue fikra zetu ili tujenge taifa la kujivunia vizazi vyetu vijavyo. Nawakubali viongozi wa CDM na nina waheshimu sana hilo shaka nalo ondoa.
 
Wewe kama nani......................? nadhani hujui unachokisema nakustahi sana kwa maana mimi watu wananifahamu na sina ID ya bandia kama yako hii inaonyesha mimi nina uthubutu na wewe na wenzio hamna!

Hivyo unamaanisha sisi wenye ID za bandia hamnazo au nimekuelewa vibaya mkuu?
 
Mkuu hutamtendea haki Mggid kwa kumweleza huo ujembe wako unaobeba watu "

  • Registered Members: 31,177" wa JF kwenye population ya watu zaidi ya million 43! Nadhani kwa kukusaidia ni bora umwambie Maggid
Maggid mdogo wangu tuandikie makala za kukisifu chama chetu ili tukupambe kwa nyimbo, mapambio na thanks za kumwaga, na wala hatutakuwa na tatizo na wewe tutakusifia sana na kukutukuza na phd tutakubandika! Huo utakuwa ni uvivu wa kufikiria! kwani sisi sote hafikirii anachofikiria mwenyekiti wa chama kila mmoja anafikra zake na lazima aziwache ziwe huru!!!!

Pole mkuu na mawazo mgando(RED):A S thumbs_down: what about viewers/quests??? siku zote quests wanazidi registered members
 
Bwana Shossi,
Umemsoma maelezo yake?....kapingwa Simba SC(Sijui idadi ya washabiki wake) Kapingwa na Redio ya Kiislamu(sijui idadi ya waumini hao)...mimi sizungumzii kupingwa kwake hapa JF...na bado kuna wasomaji wa makala zake wengi wanampinga....soma leo kwenye globalpublisher.info for one
 
Pole mkuu na mawazo mgando(RED):A S thumbs_down: what about viewers/quests??? siku zote quests wanazidi registered members

Guest gani anaeweza kucomment? hivi unadhani wanacdm wote wanafurahi wabunge wao ku walk out? Zitto alisemaje jamaa walipo walk out kwenye hutuba ya Rais? au umesahau kama kawaida yetu? au na yeye Zitto ni kafu? je Lucy Owenya na yeye ni ccm mbona hakuwepo kwenye ukumbi wa bunge? Nadhani wewe mkuu ndio una mawazo mgando mimi nawaheshimu sana Chadema na naheshimu mazuri wanayoyafanya ila kukiwa kuna baya lolote sitasita kulisema sina unafiki hivi ndivyo nilivyo na si kwa chadema pekee hata kwa vyama vingine wakifanya kitu kisichopendeza nitakisema!!!!!!
 
Ni uhuru wake wa kutoa maoni, japo maoni hayo hayana facts yoyote na kubwa kuliko zote haya mantiki kwa mtu yeyote mwenye akili inayochambua vizuri mambo.Forget about MAJID he is just one of the impoverished minds in this country.
 
Back
Top Bottom