Magessa, Alichaguliwa kwa kura Ngapi za Wana Arusha?

Kwa muda mfupi tu Magessa aliokaa Arusha ameshaonyesha upumbavu wake kwa kiwango kikubwa, inaonyesha wazi hana siku nyingi alternative zitamwishia. Tunamsikia anabwata sana, tutamwona nguvu yake itaenda umbali gani. Aliyempa kazi mwenyewe sasa hivi suruali hazikai kiunoni kwasababu mambo ni magumu mno.
 
Wakuu naomba kuuliza, Hv huyu mteule wa m.kwere hapa ARA, mbona amekuwa kero anataka kutucontrol wazawa?
Ngoja mbunge wetu atoke keshokutwa! ile ya mbeya itakuwa cha mtoto! lazima ajue ARA sio mahali pa kufanya haya anayofanya ss!

Nakwambia huyu msanii wa mzee wa kaya atajashangaa na roho yake na hebu tusubirie kidogo tu na atjuaga kilichomnyoa kanga ndege manyoa ya shingo. Mpuuzi sana huyu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom