Magdalena Sakaya: Pengine Ungekuwa na tija zaidi kama ungekuwa CHADEMA

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
261
Ni mbunge wa CUF viti maalum, mbunge pekee wa viti maalum wa CUF aliye active bungeni. Magdalena Sakaya kwa kweli ananifurahisha sana akisimama bungeni na kuongea. She talks sense and she means business. Hata akiwa hewani kwenye radio au tv yaani anaongea kitu kinaingia akilini. Na anaonekana anajielimisha vya kutosha, pengine siyo mmoja kati ya wale wanaosubiri kuandaliwa cha kusema bungeni!

Nimekuwa nikijiuliza kama angekuwa Chadema angeweza kufanya mengi zaidi kiasi gani. Kwa maana ya kwamba I feel she is being under utilized huko aliko.
 
mkuu bila shaka chama pekee ambacho mtu anapaswa kuwa ni chadema peke yake, haahaa! Kweli hayo ni maoni yako! Zinduka kutoka usingizini wewe
 
ulitaka awe CCM ajivue gamba au ?na wewe badilika na hilo gamba
 
Siungi mkono hoja. Mtu anapaswa kujiunga na chama ambacho anakubaliana na ideology yake. Wote wanao cross over siku hizi hawafuati ideology bali opportunities za ulaji. Miongoni mwao ni Shibuda, Mpendazoe, Shitambala na Safari. Ninawasifu Bashe na Seleli ambao hawakutaka kuhama bila kuzingatia kama watafikia kwenye imani yao ama la.
 
Nimemkubali dada magdalena sakaya kwa asilimpia zote zilizo duniani!
 
Ni mbunge wa CUF viti maalum, mbunge pekee wa viti maalum wa CUF aliye active bungeni. Magdalena Sakaya kwa kweli ananifurahisha sana akisimama bungeni na kuongea. She talks sense and she means business. Hata akiwa hewani kwenye radio au tv yaani anaongea kitu kinaingia akilini. Na anaonekana anajielimisha vya kutosha, pengine siyo mmoja kati ya wale wanaosubiri kuandaliwa cha kusema bungeni!

Nimekuwa nikijiuliza kama angekuwa Chadema angeweza kufanya mengi zaidi kiasi gani. Kwa maana ya kwamba I feel she is being under utilized huko aliko.
nadhani taifa linaweza kuendelea bila kuwa na wanasiasa wote wazuri kama CDM members, if we want a true and fair political platform basi vyama vyote ni vyema vikawa na talents na upinzani wa kweli

it doesnt matter Sakaya yuko wapi, as long as anatoa mchango kwenye ujenzi wa taifa lake

tusijibane na kuwa unidirectional
 
ulitaka awe CCM ajivue gamba au ?na wewe badilika na hilo gamba

nafikiri umesahau kuwa katika nchi hii kila mtu ana uhuru wa kujiunga na chama chochote ambacho yeye anahisi ni sahihi kwa itikadi zake. Wakati anajiunga na CUF nadhani cdm ilikuwepo na yeye akaona CUF ndo sahihi. Zinduka wewe
 
mkuu bila shaka chama pekee ambacho mtu anapaswa kuwa ni chadema peke yake, haahaa! Kweli hayo ni maoni yako! Zinduka kutoka usingizini wewe

Nimezinduka mkuu nimekuta chama pekee kwa tz chenye akili ni Chadema. Hapo vipi?
 
Of course you are very right. Wakristo wote makini lazima wajiunge na Chadema. Huyu kapotea njia huyuuu. loooh.

Ni mbunge wa CUF viti maalum, mbunge pekee wa viti maalum wa CUF aliye active bungeni. Magdalena Sakaya kwa kweli ananifurahisha sana akisimama bungeni na kuongea. She talks sense and she means business. Hata akiwa hewani kwenye radio au tv yaani anaongea kitu kinaingia akilini. Na anaonekana anajielimisha vya kutosha, pengine siyo mmoja kati ya wale wanaosubiri kuandaliwa cha kusema bungeni!

Nimekuwa nikijiuliza kama angekuwa Chadema angeweza kufanya mengi zaidi kiasi gani. Kwa maana ya kwamba I feel she is being under utilized huko aliko.
 
Of course you are very right. Wakristo wote makini lazima wajiunge na Chadema. Huyu kapotea njia huyuuu. loooh.
hapa sasa ndo thread nzuri kama hizi baada ya mawazo constructive patatokea bonge la divergence mhhhhh endeleeni kumpa huyo mgonjwa mahututi aliye ICU thithiemu credit za kupayuka jamvini
 
Hahah nyie watu huwa mnanichekesha. Huyo dada sijawahi msikia, inabidi nikae mkao wa kula ili nimjue. Nimezinduka pia jamani. thanks
 
Mijadala mingine wala haisaidii kujenga demokrasia imara katika nchi. Magdalena Sakaya hapa tunapozungumza yupo rumande na kosa lake ni kutetea watu wa Usinge huko Tabora. Haijalishi yupo chama gani cha siasa, kwa kuwa anatetea wanyonge, wanaokandamizwa na wanaonewa Sakaya anapaswa kutetewa, kuungwa mkono na kusemewa. Bila kujali itikadi za vyama vyetu, Magdalena atetewe kutoka rumande mara moja kwani ana haki ya dhamana.
Tungependa dada huyu awe chadema, lakini si sahihi kudhani kila mtanzania lazima awe chadema. Ni vema vyama vikawa na watu bora na ndio panakuwa na siasa zenye tija. Sakawa aungwe mkono huko huko alipo.
 
You may be the only CDM supporter with common sense!
 
WANAJF
Jamani naombeni kufahamu kuhusiana na mbunge huyu maana simuelewi
Je ni mb wa kuteuliwa kupitia mkoa gani Tabora ama Kilimanjaro kama ni kupitia Tabora mbona hana makazi huko tabora maana taarifa za kiintelejensia ni kuwa alipaswa kuwa kilimanjaro kama kweli ni sawa basi Lipumba ajiangalie mara mbili uteuzi walioufanya maana atakuwa anajiandaa kukata mti huku amekaa huu yake
Magdalena sakaaya alikuwa akifanya wapi kazi kabla ya kuteuliwa kuwa mbunge
 
Back
Top Bottom