Magazeti ya udaku yatakavyoandika kuhusu kifo cha sajuki

- Sajuki Afa Siku ya Ajabu 01/01, ni namba za Freemason
- Freemason Yaendelea Kutesa Wasanii
- Kifo cha Sajuki Utata Mtupu, Bongo Movies Yalaumiwa
- Wema Atuma Salamu za Rambirambi, JK kuhudhuria

n.k
 
1.kifo cha sajuki ,freemason wahusishwa,inasemakana 1/1 ni aina ya kafara ya hali ya juu
2.sajuki alijua kifo chake
3.masaa 24 kabla ya kifo cha sajuki kama vie alijua
4.uchawi wahusishwa kifo cha sajuki
5.etc
Haka ka nchi kenye watu zaidi ya milion 45 bado kako kwenye enzi za mawe
 
Ila Shigongo na magazeti yake ni kiboko. Ila niliambiwa eti Erick Shigongo ni mlokole ni kweli? Maana mambo yake na ulokile sijui ndiyo manabii wa kileo!! Ha ha ha!
 
Hapo kwenye etc ongeza, baada ya kifo cha Sajuki, wanaume wamiminika kwa Wastara....etc. Mambo ya Shigongo hayo na hivyo ndivyo anavyoharibu akili za akina dada wasiosoma wale wa Uswazi! Na wao wakisoma basi wanaamini dnio ukweli kumbe menzao anataka apate pesa tu.

1.kifo cha sajuki ,freemason wahusishwa,inasemakana 1/1 ni aina ya kafara ya hali ya juu
2.sajuki alijua kifo chake
3.masaa 24 kabla ya kifo cha sajuki kama vie alijua
4.uchawi wahusishwa kifo cha sajuki
5.etc
 
No..kifo ni mpango wa Mungu hakuna cha freemason au uchawi ni fikira ndogo za Watanzania bila kugundua kwamba kifo ni lazima. " hivi mlitaka nani afe ili mfurahi"
 
KAKA unataka wakale wapi''''''sio kila kifo ni huzuni vingine furaha'''''achana na magazeti ya udaku hata wanasiasa utawaona hasa bwana nanii wa chama fulani cha upinzani ndo point yake hiyo ya kujiweka karibu na vijana kama alivyo fanya dar live................2015 uachaguzi mkuu
 
Back
Top Bottom