Magazeti ya 'udaku' yana mchango gani?

getrusa

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
2,150
1,812
Habari zenu wadau.

Naomba kujua mchango chanya kihabari utolewao na magazeti haya ya udaku mfano Ijumaa, Kiu, Risasi, Amani na mengineyo!

Pia kwa wanaofahamu kiwango cha kielimu cha waandishi wake. Binafsi huwa ninakerwa na heading zao na uhalisia wa habari zilizo ndani.

Mno ni waongo kuliko maelezo je serikali haioni? Nijuzeni tafadhari wadau.
 
nafikiri news zao zingekuwa fake haya magazeti yangekuwa yamefungiwa mda mrefu na tungekuwa tunasikia kesi nyingi Mahakamani za udhalalishwaji ila mi sijasikiaga, nasikia tu kesi za mwananchi, habari leo etc.
 
Back
Top Bottom