Magazeti ya udaku na ubabaishaji wa kisaikolojia

MWANA WA UFALME

JF-Expert Member
Sep 10, 2010
578
144
HII HABARI NILIYOISOMA KWENYE GAZETI LA GLOBAL NAONA IMEKAA KISIASA ZAIDI NA INAJARIBU KUUHADAA UMMA KWAMBA YALIYOMPATA DR. NI KIKUNDI BINAFSI KINACHOFANYA KAZI NA KITAENDELEA KWA WENGINE.

HABARI HII IMEKAA KUCHEZEA FIKRA ZA WATU ILI WAAMINI KWAMBA HATA MAOVU MENGINE YAKITOKEA BASI KIPO KIKUNDI TU FULANI

I MEAN FOR WHOSE INTEREST?

BONYEZA HAPA KWA HABARI ZAIDI
KUTEKWA, KUSULUBIWA DK. ULIMBOKA: MAZITO YAIBUKA - Global Publishers
 
mwanachama hai wa CCM
aligombea nafasi ya kutaka kupewa ridhaa ya kuteuliwa kugombea Ubunge akakosa
anasadikiwa kushirikiana na mtoto
wa rais kufanya biashara
ni mwandishi mzuri wa hadithi
mmiliki wa magaxeti pendwa

naaamini anatetea chama chake na baba wa mshirika wake


kama kweli wakasaidie polisi coz wanaushaidi wa kutosha
 
Back
Top Bottom