magazeti ya Tz na wachezaji wanaojaribiwa Ulaya

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
nadhani wabongo na wazenj tukubali kwamba hatuna mchzaji anaweza kucheza soka la kulpwa katika timu kubwa barani ulaya hajazaliwa au naweza kusema tayari ashazaliwa lkn hajaingia kwenye soka la ligi kuu. kwani kila siku tunasikia mara huyu mara huyu mara huyu wameenda kujaribu soka la ulaya lakn baada ya muda tunasikia wamerudii tena hapa bongo na kusajiliwa Simba na Yanga. magazeti yetu kila kukicha wanatangaza mchezaji kanuniliwa lkn baadae tunaiskia yupo bongo. nadahani imefika wakati magazeti na redio zetu kuanagalia tena maandishi yao na habari zao kuhusu wachezaji wanaokwenda kujaribu soka
 
Back
Top Bottom