Magazeti ya Tanzania kwa kupenda Udaku na Umbeya??????????????

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,319
33,125
001.JPG



008.JPG




006.JPG



003.JPG




012.JPG
 
CCM kweli wanapumulia mashine tena mashine yenyewe ile ya ku pump maji RUVU mbovu mnooooo
 
Mkuu MziziMkavu, asante kwa kutupeleka Bongo kwa tovuti. Asante sana. Mwenyezi Mungu akuzidishie hekmah.

Mkuu udaku unatia daku. Wale wa Kinondoni Shamba nini? Ha ha ha ha, meeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
siku za karibuni naona gazeti la Mwananchi limepunguza makali yake tofauti na siku za nyuma ambapo ilifika hatua serikali ikasema linafanya uchochezi.
 
Pole sana..........
 

Attachments

  • IMG_1546.jpg
    IMG_1546.jpg
    33 KB · Views: 9,830
  • IMG_1549.jpg
    IMG_1549.jpg
    43.1 KB · Views: 10,040
  • IMG_1550.jpg
    IMG_1550.jpg
    49.9 KB · Views: 412
Duh! Kanywa sumu lakini kanona bora ambavyo kanusurika waendelee kumfaidi hao ambao huwa wanamfaidi ingawa wanaweza kuwa wasipate faida.
 
Huyo Agnes wa wapi? wajameni nimepata libidemia ghafla, mwenye namba zake basi ani PM.
 
Back
Top Bottom