Magazeti ya Tanzania Hashikiki kwa Kuandika Uwongo

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,570
19,442
bot_tabimg.gif

Daktari wa MJ atiwa hatiani Send to a friend

Tuesday, 08 November 2011 21:44
0digg

LOS ANGELES, Marekani
DAKTARI wa Michael Jackson, Conrad Murray amehukumiwa kwenda jela baada ya kukiri mashtaka yake kusababisha kifo cha Mfalme wa Pop, Michael Jackson. Murray, 58, aliyekuwa mbele ya jopo la majaji saba wakiwemo wanawake watano, walimtia hatiani daktari huyo kwa kosa la kuua.

Hiyo nimeitoa kwenye website ya Mwananchi.


Ukweli ni kuwa

(1) Conrad Murray hajahukumiwa kwenda jela ingawa ameonekana na hatia ya kusabaisha kifo cha Michael na hivyo kupelekwa rumande hadi hukumu yake itakapotolewa.

(2) Conrad Murray hakukiri mashataka dhid yake: aliyakana yote

(3) Kesi ya Murray haikusikilzwa mbele ya jopo la majaji saba, bali ilisikilizwa na jaji mmoja Michael Pastor akisaidiwa na baraza la wazee (jurors) lenye watu 12: wanaume saba na wanawake watano.
 
asante....maana nilidhani ni mimi peke yangu niliyeshtukia hiyo error.....
anyway.....................
 
Ni kakosa kadogo (watasema)! Lakini kametojitokeza kama point tatu muhimu sana! Chukulia ni kakosa kanokojirudia mara zote ..akiendesha, akila ,akifikiria, akiongea na matendo yake yote!! Na muhusika haoni kabisa kama ana hilo tatizo ...sidhani Watanzanzia wote tuko hivyo ...Lakini Baadhi ya uongozi wetu? siasa zinavyoendeshwa? Uchumi unavyoendeshwa, elimu nk ..and yet ..Hakuna anayeona hako katatizo!!!!
 
Back
Top Bottom