Magazeti ya nje kuhusu mabomu

Tutafsirie kaka maana wenzio shule imetupita mbali...na hizi Lugha za wenzetu ndo basi tunaona giza tolooolo
 

BBC News - Tanzania munitions dump blast: 32 dead in Dar es Salaam

Tanzania munitions dump blast kills 20 - govt | News by Country | Reuters

lakini mbona kuna thread inasema zaidi ya 300?

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/111181-watu-300-wamekufa-mpaka-sasa-gongo-la-mboto.html

Hii inasema 200. https://www.jamiiforums.com/habari-...amefariki-dunia-mabomu-ya-gongo-la-mboto.html

Katika hii thread ya 200 kuna kipande hiki ambacho kinatoa mwelekeo kuwa wamekufa watu wengi
Kwa maelezo yaliyotolewa na mkazi wa gongolambota karibu na Camp (Mahojiano na Wapo Radio), alisema baada ya kama milipuko minne ya mwazo zilifika gari za Jeshi tatu zikiwa na takribani askari 50, alisema alimsikia kiongozi wa ule msafara akiongea kwa Radio call akimjulisha mkubwa wake kuwa pale camp hali ni mbaya sana sana ...lakini yule mkubwa akawa anasistiza wale askari waingie kule ndani ya Camp!!! Kijana anasema wale wote walikuja na yale magari hajatoka hata mmoja hao ni askari kutoka nje ya Camp....akaongeza kuwa milipuko ilipoaanza wapo watu walikimbilia kwenda kushangaa nini kimetokea nao hao pia hakuna aliye rudi sasa hiii ni mbali na wale askari waliokuwa wanaishi ndani ya camp......Idadi ya watanzania walikufa kwenye tukio hili itakuwa ni kubwa sana....wataficha tuu...haya mabomu yamefanya mafaa hata mbali kabisa na eneo hilo mpaka Pugu, chanika huko.....hali ni mbaya sana sana wasiundangaye Umma wa Watanzania!!!!
 
Tafadhali wanahabari,msichukue taarifa za kuambiwa na hou wanaojiita wasemaji wa serikali,jeshi,n.k. Jaribuni kuzihakiki kwa kufuatilia kwa karibu na kuthibitisha kabla ya kuziweka hewani. Tunawategemea sana wanahabari kwa taarifa sahihi.
 
Kufa watu zaidi ya mia inawezekana.Amehojiwa mkazi mmoja asubuhi na bbc akasema nyumba moja ya kupangisha imeharibiwa kabisa na ilikuwa na familia 5 hakuna aliyetoka. kwa kawaida familia zetu zina watu 4-5 hivi. Kwa mahesabu ya haraka ni about 20 in one house. Sasa katika radius ya 10km kuna nyumba hizi ngapi KAMA HIZI? Tupewe habari zenye mantiki na za kweli hakuna sababu ya kuficha kitu .Tunaficha kwa manufaa ya nani na tukio limeshatokea?
 
Hivi ni kwa nini huwa wanaficha? n zile maiti huwa zinapelekwa wapi? basi kma zinaenda mochwale waandishi wa habari waende huko kupata idadi halisi ya waliofariki
 
Uongo mwingi utadhani ahadi za kampeni! wanaficha ili iweje, kifo ni kifo tu, haina haja ya kutoa taarifa ya uongo ilhali jambo liko bayana.
 
Tutafsirie kaka maana wenzio shule imetupita mbali...na hizi Lugha za wenzetu ndo basi tunaona giza tolooolo

A projectile exploded in stock - 23 Finnish MOT without food and water

A large army ammunition storage exploded in the capital of Tanzania, Dar es Salaam on Wednesday evening.

Mighty räjähtely began at about 20 Finnish time, and continued to be strong a couple of hours. Räjähtely was like a huge fireworks, which was reflected in a dark sky up to twenty kilometers away.

23 with the Finnish group was mottiin without food and water in Dar es Salaam International Airport. Out there is a huge heat, heat above 35 degrees.

The group injected from the courtyard under the open sky and not be told.

- Field staff visibly frightened, but the Finns remained calm, in an accompanying Unto Neiglick says IS.

The Finnish team was coming from Zanzibar, and their aircraft had to make a stopover in Dar es Salaam airport. Trip was scheduled to go to Helsinki. The group has Finnmatkat Tema-tour.

The airport area is not, however, access to off, because the field is closed to air traffic due to the explosion and the army has blocked the road leading to the city because of the rescue.

Wednesday and Thursday night between 24 pm Finnish time, the group had been the MOT for several hours. Foreign Ministry representative to find out, could, for example through the authorities to provide the Finnish food and drink.

An explosion of gunpowder in the air spread fumes spread to tens of kilometers scale.

Finland's embassy in Tanzania was not yet late at night with information about whether anyone was killed or hurt in the explosion.

Antti Putkonen local embassy said that the embassy had informed all the nearby Finnish ammunition warehouse explosion.

Dar es Salaam is currently visiting at least about twenty people of Finnish outfit. The group has stayed at the hotel, which is located about 25 km away from the explosion site.

Permanent residents in about 200 Finnish. In addition, Ministry of Foreign Affairs estimates that Finnish tourists are on the spot a few dozen.

When informed of ammunition warehouse explosion in Finland Finnish Embassy urged to stay indoors.

Ammunition warehouse is located a few kilometers from Dar es Salaam airport, which was closed soon after the beginning of räjähtelyn. Shortly before the explosion the airport had landed the airplane.

The Foreign Ministry will continue to monitor the situation. Finnish is not injured and reportedly died in the explosion.
 
these are just their comments:

Engineer Retd Today 6:23 2Foolish to invest in the typical hustle around ammunition storage near the airport. UUSIKYLÄ paukustakin material spread much more widely. Multi-cube Kivik found miles away. UUSIKYLÄ fog was about 100 tons rotulia Total räjähdyshän did not happen all at once. I got to know very quickly the scene, when I happened to be Koria at that time.


Quote Report inappropriate post

- Today, 9:54 2
Foolish to invest in the typical hustle around ammunition storage near the airport.

Is it really? Airport takes a lot of space, of which 90% is empty. Almost any other built-up area would be worse damage.
Just stockpiles could, of course, invest in forests in the middle of nowhere, but the option may not have been.

Quote Report inappropriate post

Foreign Today 11:47 0
Foolish to invest in the typical hustle around ammunition storage near the airport.
Is it really? Airport takes a lot of space, of which 90% is empty. Almost any other built-up area would be worse damage.
Just stockpiles could, of course, invest in forests in the middle of nowhere, but the option may not have been.
After all, the possibility that the ammunition storage was in the middle of the forest, it's just not remembered when you move the city has grown ...

Quote Report inappropriate post

rautakangestavääntäjä Today, 24:25 2"Motti means the besieged enemy, widely used in the blockade of the ring, inside the tire forces and the guards."
 
Do asante kwa tafsiri............lakaini zaidi ya yote umeona jamaa wanaongelea raia wao na sio atahari kwa watanzania! TUJIFUNZE
 
Tafadhali wanahabari,msichukue taarifa za kuambiwa na hou wanaojiita wasemaji wa serikali,jeshi,n.k. Jaribuni kuzihakiki kwa kufuatilia kwa karibu na kuthibitisha kabla ya kuziweka hewani. Tunawategemea sana wanahabari kwa taarifa sahihi.

Bwana mtanza, hakuna uhuru wa habari hapa; mwanahabari akitangaza habari zisizo 'rasmi' anaweza kuingia matatani yeye na chombo anachokifanyia kazi!! He/she is very safe kutangaza zile zitokazo midomoni mwa hao wasemaji 'rasmi.' Mifano ipo ya wale waliowahi kutangaza kile walichokiona live kwenye matukio lakini wakakiona cha moto!
 
Nilifundishwa katika kuripoti matukio ya ajali mtoa taarifa anayeaminika ni kamanda wa Polisi Mkoa au msemaji wa Jeshi la Polisi.
Ukiripoti kinyume you will be in trouble utaambiwa umtaje aliekupa taarifa vinginevyo utakua umepotosha umma hivyo unatakiwa kukanusha.
Jamani hata kwa vitu vilivyo wazi kama hivi?
Hadi sasa wanadai watu wapatao 20 wamepoteza maisha ila kwa makadirio rahisi na hali ya eneo lenyewe mwandishi aliyefika akisema watu wanaokadiriwa kufikia 100 wqmepoteza maisha ataonekana anapotosha.
 
Milipuko ni uzumbe wa wanausalama, earlier explosion in 2009 we agreed it could be mistake now again another mistake or simply we don't learn from them.
 
Hao Wazungu wanatoa maoni gani hayo ya kijinga, hakuna mtu aliyelazimishwa kuja kuwekeza Tanzania, wana bahati siijui Lugha yao pambaf!
 
Back
Top Bottom