Ni uzembe tu wa webmaster(s).Mona hata Majira nalo limepotea kimyakimya mtandaoni,halafu Tanzania Daima wana-update page yao kwa kushtukiza....yaani tunaotegemea habari za nyumbani thru mtandao tunanyanyaswa kupita kiasi.Hapo IPPMEDIA kwenyewe si ajabu ukakuta habari,uki-click haipo.
Majira Online limepotea kwa sababu ya kifo cha Nyaulawa???
Nadhani hawa IPP wana matatizo katika idara yao ya IT
Zeutamu mwendo mdundo....