Magazeti ya Alasiri na Dar leo kulikon?

My Hand

Member
Aug 18, 2011
18
2
jaman imepita muda mrefu sasa haya magazet ya alasir na dar leo cjapata kuyaona cjajua n kp klchowasb..wana jamii naomba mnsaidie kwa mnaofahamu kwa nn magazet haya hayapo?
 
Nimetafuta gazeti la Nipashe asubuhi ya saa tano siku lipata...sijui wamekubwa na nini....
 
Hayo magazeti yalipoteza mvuto kwa jamii kwani yalikuwa yamekaa kimagamba magamba!
 
Gazeti la Dar leo bado lipo sema labda mitaa unayopatikana huwa hayapatikani, Alasili ni kama gazeti la LETE RAHA ambalo mzee wetu kaamua kuacha kulichapisha kwani mwanasport limemwalibia kbs, Crashwise gazeti la nipashe lipo bana labda huko A town gorika lilichelewa kufika
 
Yatakuwa yamekufa natural death kutokana na maendeleo ya teknolojia. Lolote linalotokea huwa linarushwa kwenye blogs na websites kama breaking news. Sasa mtu anunue gazeti la Alasiri la nini wakati habari zao zote kazisoma mtandaoni akiwa ofisini.?
 
Soko bana ubunifu tu ndio utakao hakikisha maisha, wakati umefika yatoke sasa yamechafua sana watu na yamegombanisha sana kwa habari nusu nusu
 
Back
Top Bottom