Elections 2010 Magazeti haya ni wakala wa CCM

Mnashangaza kama news ina msifu padre slaa.....basi gazeti hilo poa...kama ..akipondwa ...basi......mnalalama........mambooo badooooooo....jk hakuna anamweza kwa sasa hapa tz......hata mfanye nini....
  • ni mtu wa watu
  • mstaarabu
  • amelelewa
  • hapayuki hovyo
  • hana mihemko kama slaa
  • anakubalika dunia nzima
  • anakubalika tanzania nzima
  • anajali raia wake
  • amefanya raia wanajua haki zao sasa kuliko wakati wowote ule
  • amefanya police force imekua na nidhamu
  • ni mwerevu
  • ni msikivu
  • anapenda michezo
  • anapenda maendelea ya raia wake sio mchoyo
  • ameonesha mfano wa kubuni mambo mazito kama kilimo kwanza
  • malaria haikubaliki
  • tanzania inawezekana bila ya ukimwi
  • dodoma university ni kielelezo cha ubunifu na mipango thabiti
  • na ameahidi kujenga butiama university
  • ameweza kutuliza mambo zanzibar sasa hatusikii vifaru kupelekwa huko..hata nyerere yalimshinda ya huko
  • sasa ni nadra kusikia virungu na mabomu ya ffu
  • amewapa hali nzuri machinga kujitegemea na kuwapatia sehemu nzuri za biashara
  • ameweza kuwafikisha baadhi ya maafisa na mawaziri mahakamani kwa tuhuma za ubadhirifu..haijawahi kutokea
  • amesaidia kuweka chati ya tanzania juu kisiasa, kimichezo,na kiuchumi,
  • ameweza kuleta mkutano wa world economic forum hapa bongo kwa mara ya kwanza...mkutano huu ulitangazwa dunia nzima ..na faida yake ipo wazi....investments nyingi zimepatikana
  • ana aminiwa na nchi jirani....ndugu zetu wakenya walimtaka apatanishe....na akafanikiwa....
  • hapa shule zimeengezeka na wanafunzi wameengezeka
  • ni msema kweli.....alipowambia wafanya kazi wasitumiwe na wanasiasa bali serikali inaangalia kupandisha mishahara yao kwa kuangalia uwezo wa serikali walimwelewa..kwa ufupi anakubalika.......
Hakika wewe unafaidika na ufisadi wa Nchi hii, kama unabisha jiangalie ulichonacho ni halali. Hizo shule zilizoongezeka kuna watoto wa viongozi? Hizo zahanati zinatibu viongozi wetu? Ukweli wa JK uko wapi kwa watuhumiwa wa EPA, RICHMOND, MEREMETA na KAGODA? Ebu nikuulize Balali yupo au alikufa na kama alikufa mazishi yalifanyika lini na wapi na msimamo wa JK ni upi? JK wala hajipendi anaficha hata maradhi yake anataka afie Ikulu.
 
Back
Top Bottom