Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magazeti gani yanaongoza kwa kusomwa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mhalisi, Apr 16, 2013.

 1. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2013
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wadau wa Jamii Forums napenda kuuliza ni magazeti gani kwa hivi sasa yanaongoza kwa kusomwa na watu wengi hapa nchini?
   
 2. Kizamani

  Kizamani JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2013
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzania daima. Jana na leo by saa moja asubuhi lilikuwa limeisha kwenye mbao za magazeti.
   
 3. K

  Kwayu JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2013
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 486
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 18
  Tanzania Daima na Mwananchi, ila mwananchi sasa wanaaribu na baadhi ya watu wameacha kuyasoma nikiwepo mimi!
   
 4. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2013
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,447
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  Na Mwanasporti
   
 5. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2013
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 7,681
  Likes Received: 1,145
  Trophy Points: 113
  kiu,ijumaa,risasi,amani na uwazi
   
 6. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2013
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 9,818
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 63
  tanzania daima...jana nimekosa hata leo...yalikuwa yameisha
   
 7. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2013
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 12,808
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 83
  magazeti ya udaku ndo yawasomwa sana.. Usiangalie nani kalikosa na nani kalipata we angalia kwa siku zinatengenezwa kopi ngapi... Hili la kukosa gazeti fulani inaweza ikawa inasababishwa na uchache wa kopi zinazotolewa kwa siku.

  Magazeti ya Shigongo yanauzwa si chini ya kopi milioni kwa siku nchi nzima
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2013
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 26,743
  Likes Received: 700
  Trophy Points: 113
  Mtazamo utategemea umezungukwa na watu wa aina gani. Ukishinda na mabaamedi na mahausigelo utaona udaku ndo zinasomwa. Mi nimezungukwa na watu wanasoma uhuru..huwa siachi kujishangaa.
   
 9. +255

  +255 JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2013
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,636
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 38
  Kama wana print copy 500 kwa nini wasimalize?
   
 10. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2013
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,590
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 38
  Uhuru na Mzalendo, kwi kwi kwi .
   
 11. +255

  +255 JF-Expert Member

  #11
  Apr 17, 2013
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,636
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 38
  Kusomwa na watu wengi au kununuliwa na watu wengi?
  Kama ni kusomwa tu wengi wanasoma "headings" za magazeti kwa wauzaji au wanasoma yaliyonunuliwa na wengine. Unakuta gazeti moja limesomwa na watu watano tofauti.
  Magazeti yanayoongoza kwa mauzo ni Mwananchi na Mwanaspoti, na nadhani yanayoongoza kusomwa na wengi ni ya magazeti ya udaku.
   
 12. ijoz

  ijoz JF-Expert Member

  #12
  Apr 17, 2013
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 485
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 18
  Nafikiri ni ya udaku,yale ya Shigongo.
  Pia mwananchi na Mwanaspoti.
  Tz Daima...! Hili limekaa kidakudaku na hoja za kukurupuka. Labda kidogo ni la J5 na J2.
   
 13. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #13
  Apr 17, 2013
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 12,808
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 83
  Sikubaliani na wewe. Kimsingi gazeti gani mtu analisoma inategemea na aina ya habari anayoitaka... Ukipenda siasa unajuwa kabisa huwezi nunua udaku, ukipenda habari za nani kaigwa wapi, hapo ya udaku yanahusika.

  Kuna watu wanapenda aina fulani ya magazeti kwa vile tu fulani naye anasoma ya aina hiyo. Na kuna watu wanadhani status inapanda au inashuka kutegemeana na magazeti unayosoma. Ya udaku yanasomwa na watu wa status tofauti tofauti, ukiwajumlisha na hao uliowataja.

  Kwa hiyo kujuwa yepi yanasomwa zaidi, usiangalie wanaokuzunguka, hutapata picha halisi, we angalia kopi ngapi zinatolewa kwa siku.
   
 14. delusions

  delusions JF-Expert Member

  #14
  Apr 17, 2013
  Joined: Jan 11, 2013
  Messages: 4,108
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 63
  Ni wapi umetolewa utafiti msijibu tu kama mmetoka kupata mapuya kwa mama mwenda
   
 15. Home First

  Home First JF-Expert Member

  #15
  Apr 17, 2013
  Joined: Feb 23, 2013
  Messages: 458
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 18
  Udaku,nikiwemo mimi ndani,sijui wewe.
   
 16. T

  Tulimumu JF-Expert Member

  #16
  Apr 17, 2013
  Joined: Mar 11, 2013
  Messages: 4,005
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 63
  Uhuru na Mzalendo je?
   
 17. Young Tanzanian

  Young Tanzanian JF-Expert Member

  #17
  Apr 17, 2013
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,742
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzania daima.....mwananchi naskia limedorora sana kuanzia wiki hii toka mhariri wao ahusishwe na hujuma
   

Share This Page