Magari

Mzee haya magari yuzidi kwa dsm una maana gani? kati ya hizi hapa chini
1:- magari yalokwisha tumika ndani ya dsm nikiwa na maana ni used cars of the used ones?
2:-magari used toka japan/dubai/Zanzibar au hata ulaya ila sio used hapa dsm?

kama upo kipengele cha pili...nahitaji prado landcruiser 5 doors model ya 2001 and above ila iwe na mailage less than 75,000km...weka offer yako hapa na wapi naweza kuiona ... unakaribishwa kuni-pm...SAWA MZEE..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom