Tanzania Mpya
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 253
- 144
Suala hili linashangaza, Magari mengi yanayotembea barabarani ni mabovu hasa daladala lakini Polisi wanajisifia kwamba wabakagua magari yote na kuyapa stika ya ubora! Hivi ni kigezo kipi wanatumia ktk ukaguzi wao?