Magari yatakakuwa yanaruka

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
566
80
Huko ulaya mambo ndo yanazidi kuongezeka ,ndege ,vyombo vinavyokwenda anga za juu,magari/treni za umeme na sasa magari yanayopaa.sisi tunabaki kuruka na ungo na kwenda samunge badala ya kufanya research
 

Attachments

  • flyca[1].jpg
    flyca[1].jpg
    17.6 KB · Views: 126
Huo usafiri wa ungo basi ungefanyiwa utafiti ukatumiwa na watu wote ungefaa sana tena hauna gharama.lo!
 
Back
Top Bottom