Magari yanayopiga kelele yapigwe marufuku

crabat

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
4,322
2,203
Mheshimiwa Makonda Tuna Tatizo sisi watu wa Upanga. Kuna vijana wa Kihindi kila siku za Ijumaa , Jumamosi na Jumapili kazi yao kuanzia Saa 12 Jioni mpaka saa Tano usiku ni kupitisha Magari na Piki Piki ambazo wamebandika vifaa vya kutoa KELELEkali sana utafikiri kuna Mabomu au miripuko ya Baruti.

Hupita na Kuendesha kwa kasi sana na wakaazi wa hapa hatuna raha kabisa. Kuna wagonjwa ambao huwa wanashtuka wanaposikia hizi kelele, kuna mmoja alipata presha na kulazwa hospital kwa wiki nzima. alifikiri nyumba imepigwa baruti.

tunaomba utuwekee Landrover Moja kila week end au hata Wale askari wa Piki piki wajifiche mitaa hii karibu na Diamond Jubilee ..wakamate haya magari na kuepewa adhabu kali iliwamo kuyatoa exhause pipes na matairi.

wanakera na tumepeleka matatizo yetu kwa diwani wetu Ndugu sultan lakini anawaogopa .hajafanya kitu.

hatuwezi kufanyiwa fujo majumbani na wahuni wachache wasio kua na adabu...

Tunaomba uchukue hatua na zipo sharia za jiji zinazo kataza kufanya kelele kwenye makaazi ya watu.
 
kabla hilo suala alijafika ngaji za juu mkalifikishe kwenye uongozi wa serikali za mitaa sio kila jambo alifanye yeye anamambo mengi sana ya kufatilia kijana
 
Naunga mkono hoja, na wanafanya makusudi kabisa na hizo kelele zinakera sana.
 
Tuwekee kwa wiki mnili tatu hawa wahindi wakisikia tu mwenzao kachapwa kibao na gari zimengolewa tairi watakoma hawarudii tena...
Ni campain ya wiki mbili tu..watakoma ..wapelekeni askari ..wajifiche maeneo haya...lakini wambieni wasichukue pesa za kufutia vumbi viatu maana hawa watoto wa kihindi ndio zao kwa askari piki piki
 
Daah,hii kero ni kubwa sana,ukchek karbu tu kna hospital ya tumaini
 
Back
Top Bottom