Magari yanayohitajika Tanzania

punguzo

Member
Jul 9, 2011
51
6
Ndugu,
Mimi nipo UK na Nampango wa kurudi nyumbani hivi karibuni, napenda kununua gari ambalo ninaweza kuliuza kwa urahisi au ambalo limekaa kibiashara kwa mazingira ya kiTanzania.Hivyo basi napenda kuwaomba ushauri wana JF wenzangu ni gari gani ninaweza kununua na kuliuza kwa urahisi nikifika Tanzania au ni magari gani yapo kwenye mahitaji kwa sasa?

Natumaini nitapata ushauri mzuri na wenyekufaa

Natanguriza shukrani zangu

MwanaJF
 
Grand Vitara Manual isiyozidi cc 2000 ya mwaka 2003 au 2004 milango mitano isiwe zaidi ya km 60,000 inakuwa ngapi mpaka naiendesha kwani unatakiwa kujuwa na kodi za hapa aBongo pia\
 
inategemea na uwezo wako wa fedha na matumizi yako..hali ya kati swift,starlet au vitz sababu mafuta yako juu...
 
Back
Top Bottom